Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mhh... Sio mbaya kabisa. Ila Fulham wako very dangerous, very dangerous...

Sio mbaya kabisa..
 
gervinho ana kila kitu .. kasoro utulivu ni mchezaji mzuri though

abadilike sana huyu,ni mzuri anapokuwa na mpira lakini finishing yake ni mbovu anahitaji utulivu na umakini wa hali ya juu vinginevyo ni bora asianzage tu
 
Hata hivyo si mbaya sana, vijana waongeze tu umakini kwenye ulinzi..
 
Back
Top Bottom