Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Djourou, Chamakh, squlacci, Arshavin >> OUT . mizigo mitupu.
 



Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kumbe ujanja wako wote ulikuwa unaparamia mbuzi jike! pole sana jaribu tena …. …. Ati wenzako wote, wote na nani? Wewe tunakufahamu mzee wa chuki binafsi khe khe khekheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee timu yako inakufa kifo cha mende khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee naona tunakunyima sana usingizi.




Losers!! hahahahahahaaaaa!!!! :blabla: :blabla: :blabla: :blabla:
 
Huwa hainiumu ku-lose kwa sababu ya brown envelopes, wewe unachekelea kwa sababu mmebebwa leo na mfungaji ambaye alikuwa ale red card fairly. Wacha technology ije ndio mtajua zipi ni mbivu.
 
Huwa hainiumu ku-lose kwa sababu ya brown envelopes, wewe unachekelea kwa sababu mmebebwa leo na mfungaji ambaye alikuwa ale red card fairly. Wacha technology ije ndio mtajua zipi ni mbivu.


Acha kulialia dada, hata Song alikuwa apewe red mlipocheza na Wolves, mbona husemi kitu kuhusus hilo. Bad decisions kwenye football zipo na zitaendelea kuwepo hata technology ikija, UKWELI ulio wazi ni kwamba kila timu inapata hizo decisions, tatizo ni pale wengine (soma Wacha1,Wacha na other Arses) wanapolialia/lalamika sana kuliko wenzao.
 
Kwangu mimi halijaniuma jirani maana(kama umefuatilia post zangu) nilijua ni lazima tutafungwa hata kabla Djourou hajatolewa kwa red card...Timu yetu leo haikucheza mchezo wa ushindi,tulikuwa tunaruhusu mashambulizi sana na Bobby Zamora alikuwa tishio sana kwetu pamoja na somebody Louis.....Kwa hakika leo tunastahili kushindwa,hatuna sababu......Refa,alikuwa fair kabisa,ni uzembe wetu katika idara zote,ulinzi,kiungo na forward(Walcott na Gervinho hhhawakuwa na mchango wowotw kwa timu)......

So tulistahili kushindwa,goli la Sunderland kwa Man City linauma sana maana wao Man City walikuwa kamili,walistahili kushinda kwa kila hali.....

Mkuu umemaliza kila kitu maana mpinzani Wacha yeye kila mechi mkipoteza yeye analalamika mmeonewa au bahasha sasa sijui bado anakumbuka ligi zake za mchangani.

Poleni sana aisee...
 
De Gea umeibuka leo?

Heri ya mwaka mpya.
Nipo naona mkijitahidi kunusa top 4 mnashushwa chini.Kwa hivi vipigo nafikiri makocha wa timu kubwa wanaombea ligi iwe inasimama kipindi cha Dec-Jan
 
Huwa hainiumu ku-lose kwa sababu ya brown envelopes, wewe unachekelea kwa sababu mmebebwa leo na mfungaji ambaye alikuwa ale red card fairly. Wacha technology ije ndio mtajua zipi ni mbivu.
Wacha kulialia hii ni 2012
 
Nakubali tumefungwa tugange yajayo ila ninyi man shit,the blah blahs and totenham sippers wala msiongee kabisa,hapa hofu yangu ni Man united tu.
 
Nakubali tumefungwa tugange yajayo ila ninyi man shit,the blah blahs and totenham sippers wala msiongee kabisa,hapa hofu yangu ni Man united tu.
Poleni mabingwa watarajiwa, hapa ndipo muone kuwa hamna timu ya kuchukua ubingwa msimu huu. Hizi ndio zilikuwa mechi za kuziba gap wakati walio juu wakichemsha wewe ndio ulitakiwa ufanye kweli. Ndio EPL hiyo!!!!!!!.
 
Dogo bado mkali mkuu, bahati mbaya hile. Alifanya maamuzi mabaya mpira ulikuwa wa kuupiga ngumi ule.

Tatizo letu mbele tunashindwa kutumia nafasi , tunataka kutembea na mpira mpaka ndani ya nyavu wakati mashuti yanasaidia sana kwenye mechi kama hizi.

Tutawaazima Dada Gea...kwikwiiii!
 
acha tu mkuu, nilikuwa najua leo tunapunguza gap hadi point 6, kwani najua kesho City kwa liver hatatoka.. We've wasted a golden chance Today.

Thats just soccer being soccer in EPL,almost all the big 4 failed to capitalize.. Timu ndogo zimeimarika yaani suprise packages zimekuwa za kumwaga..
 
WACHA1 akizinduka tu ICU atakuja na visingizio kibao, mara bahasha mara sijui imekuwaje?
 
The good news ..... ...... ..... you're all looking after nunber one team. Safi sana we are the only big club! Ndio chababu hamuishi nyumbani kwenu. Wengine wanachubiri kucheza kila Alhamisi na wengine kudra za mwenyezi mungu ni kubwa, kipofu kaona mwezi chacha mafikiri meerkat anashehereka na wachezaji wake .... .... mhhhhhhh very artificial.
 
Back
Top Bottom