I like your attitude Mkuu.
Pamoja sana jirani......Wewe ni mwanamichezo wa kweli kabisa, I wish kungekuwa na JF Sportsman/woman of the year......Kura yangu ingeangukia kwako jiraniPoint taken.
No repeat in future!
Too low for a JF Senior Expert Member na mwanamichezo wa kweli kama wewe jirani......
Mbona sijamuona Henry naskia RVP alikuwa beki
Pamoja sana jirani......Wewe ni mwanamichezo wa kweli kabisa, I wish kungekuwa na JF Sportsman/woman of the year......Kura yangu ingeangukia kwako jirani
Ni kitu cha kawaida katika michezo jirani but sio kuvuka mipaka...Thanks for the compliments mkuu wangu. Tuko pamoja, ingawa sometimes tunateleza tunapotuna rivalry messsage!
Thanks chief!
Pole na kisago! Naona mmeanza mwaka kwa kuangalia "chini". hahahahahhahaa!!
Mkuu wewe kama mkweli niambie kwa nini Gervinho alipoangushwa hakupewa penalty? Na hii sio mara ya kwanza kila mechi tuliyocheza kuanzia Mancs, last week na mechi ya leo. Sasa kama unakataa ile ya Gervinho iwaje ukubali second yellow ya Djorou?Wewe wacha, game ilikuwa imekaahovyo mno leo, anyway, sidhani kama gooners mtapiga kelele za "newsignings"?!
Ilikaa vibaya toka mwanzo, sishangai.
Tujikusanye tuuendelee na safari ya kuwa wanne sasa!
I am so f*****g dissaponited!
.....na VILIO vikaendeleakusikika kutoka kwa MZEE WA KULIALIA, wenzake wote wamekubali kuzidiwa lakiniyeye kama kawaida lazima alie ka MBUZI JIKE LIKIWA KWENYE JOTO, soreloser!....hahahahahaha!! Game on!
Wacha1 yupo icu
Dah!! Ndugu zangu chali pale Chelsea huyooooo!!!
Wenger Amejitakia Mwenyewe kipigo cha leo. First half tulitumia 4-3-3 tukawakamata fulham fresh.. 2nd half akaja na 4-5-1 akaua mashambulizi.. Alipo mtoa Gervinho ndo akaua kila kitu.