mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,772
- 19,753
😀😀😀😀😀We jamaa huoni upo wodi ya vichaa. Unapoteza muda wako.
😀😀😀😀😀We jamaa huoni upo wodi ya vichaa. Unapoteza muda wako.
Hii possibility inawezekana, nakumbuka saga la lacazete nae alijichanganya hivi hivii alikula bench hadi akili ikamkaa sawasababu za victor gyokeres kutocheza ni kwamba jamaa alivyoona barcelona hakuna striker akajiofa mwenyewe
arteta alipojua akafanya kama anavyofanya
hatutaki mtu anayecheza arsenal huku mawazo yapo barcelona hiyo era imekwisha
ndio maana alikuwa anapush dili la alvarez japo alvarez ndiye alikataa
arteta anatuma meseji kwenye dressing room kwamba yeye ndio boss unaweza ukajiona ni mchezaji mzuri na ukakaa benchi hana muda wa kubebembeleza
arsenal sio option ni priority
Hakuna watu wanafiki kama wachezajiEnzo anasema city bonge la timu.
Sasa sijajua bonge la timu jiji la Manchester, duniani au akilinganisha anapotoka
Bruno ana PL ngapi?
muhurumieBruno ana PL ngapi?
Saka ameanza kucheza kama beki wa kushoto.
kiufupi ni mchekeshajiZamani alikuepo jamaa anaitwa Agbonlahor, siku hizi amekua mchambuzi.
Alisema kwenye mechi tano za mwanzo za Arsenal tutapata points 5 tu.
Mechi ya 2 na tayari Arsenal tuna points 6.
Ujinga ni kwamba wakina Agbonlahor wengine tunao humu
Drama za GyökeresView attachment 3662422
🚨 Arsenal’s decision to leave Viktor Gyökeres out of their last two games may have been part of a bigger plan.
Reports suggest the club wanted to keep the No.9 shirt available for Gyökeres while they worked to facilitate Gabriel Jesus’ departure.
The idea was reportedly to avoid Gyökeres appearing in a Premier League match wearing No.14, which could have meant keeping that number for the rest of the season.
With Jesus now completing his move to Barcelona, the decision suddenly makes a lot more sense.
Sometimes the work happening behind the scenes tells a completely different story. 👀
Did Arsenal get this one right? Now you know.🙌👋
#Arsenal #AFC #ViktorGyokeres #GabrielJesus #PremierLeague #Gunners #COYG
Kenge inabidi wajue Fimbo zipo pale pale🚨Cristhian Mosquera & Bruno Guimarares were NOT seen in training this morning ❌
🗞️ Sky Sports
Kenge na Akili ni vitu ambavyo huwezi kuviweka pamojaView attachment 3662561
Ukiwakuta sasa wanavyomzungumzia huyo Caicedo ndio utagundua hii timu washabiki zake hawapo timamu muda mwingine
Hapa alikuwa analinganisha na alipotokaEnzo anasema city bonge la timu.
Sasa sijajua bonge la timu jiji la Manchester, duniani au akilinganisha anapotoka
Nyie jiongelesheni tu na kujijibu wenyewe, badala ya kutafuta namna ya kuizuia ile Front three ya chelsea msije mkadhalilika.View attachment 3662561
Ukiwakuta sasa wanavyomzungumzia huyo Caicedo ndio utagundua hii timu washabiki zake hawapo timamu muda mwingine