Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bado nina uwezo mkubwa wa kuiangalia timu na kuitabiri kuliko Hziyech22

Ndiyo sababu takes zake baadhi juu ya wachezaji hua sikubaliani nazo. Spurs is falling
Ndio ni mechi ya pili usimalize kila kitu team tatu tu zinaubora Zaidi ya Spurs ni Chelsea, Arsenal na Man City. Angalia kiwango cha Liverpool na Man U hawapo kwenye level ya Spurs ndio maana nikaongea hivyo
 
Unaongelea ushabiki. Ila ni vizuri ili niwe natumia kauli yako kama reference kwamba Chelsea ni bora kwa sasa
 
Average player aliesajiliwa pesa nyingi. So usajil jambo moja na usajili kuclick ni jambo lingine mfano mzuri torres alivyokuja chelsea
Au Gyokeres hahahaha.....
1756124919747.jpg
 
Average player aliesajiliwa pesa nyingi. So usajil jambo moja na usajili kuclick ni jambo lingine mfano mzuri torres alivyokuja chelsea
Ndio maana ninawaambia mashabiki wa Arsenal mna zero knowledge of football Morgan Rogers kaweka record ya kuwa Mchezaji ambaye katengeneza nafasi 5 kwenye game moja tena ni open play, kaingia mara 13 kwenye box la mpinzani, kafunga goal, successful dribble ni 100% wewe unasema kafeli hivi unaakili vizuri?
 
Ndio ni mechi ya pili usimalize kila kitu team tatu tu zinaubora Zaidi ya Spurs ni Chelsea, Arsenal na Man City. Angalia kiwango cha Liverpool na Man U hawapo kwenye level ya Spurs ndio maana nikaongea hivyo
Unaamini Chelsea na spurs ni bora kuliko man united, kisa mechi Moja. Na hapo juu umesema tusihukumu Kwa mechi mbili
Castr huyu jamaa ana mahaba mazito Kwa caicedo na chelsea mpaka Hana reasoning
 
Unaamini Chelsea na spurs ni bora kuliko man united, kisa mechi Moja. Na hapo juu umesema tusihukumu Kwa mechi mbili
Castr huyu jamaa ana mahaba mazito Kwa caicedo na chelsea mpaka Hana reasoning
Wewe Huna wachezaji wa maana na ndio maana Nampa nafasi Spurs kumaliza juu yako
 
Ndio maana ninawaambia mashabiki wa Arsenal mna zero knowledge of football Morgan Rogers kaweka record ya kuwa Mchezaji ambaye katengeneza nafasi 5 kwenye game moja tena ni open play, kaingia mara 13 kwenye box la mpinzani, kafunga goal, successful dribble ni 100% wewe unasema kafeli hivi unaakili vizuri?
Hivi unasoma au unaangalia maandishi? Wapi nimekuambia amefeli?

Nimeandika "AVERAGE PLAYER ALIESAJILIWA PESA NYINGI"

Katika mechi moja kufanya hivyo haiondoi ukweli wa hayo maandishi makubwa
 
Kwa msimu uliopita namba zake sio haba, sasa tumuangalie msimu huu

NB
Msimu huu utakua mchuano wa Haaland na Gyokeres. Weka kichwani hilo
Hata mtoto ukimuuliza atakwambia lile ni liroboti, Yaani upo serious kuliko mchezaji mwenyewe!!

Arteta mwenyewe kasanuka ndio mana anapambana na kina Alvares.
 
Ndio maana ninawaambia mashabiki wa Arsenal mna zero knowledge of football Morgan Rogers kaweka record ya kuwa Mchezaji ambaye katengeneza nafasi 5 kwenye game moja tena ni open play, kaingia mara 13 kwenye box la mpinzani, kafunga goal, successful dribble ni 100% wewe unasema kafeli hivi unaakili vizuri?
Hivi unajua kwamba mtu akijaribu dribble 1 na ikawa successful kwenye asilimia hii itaonyesha successful dribbles ni 100%

Hata mtu wa arts hii hesabu naijua. Usiandike stori za percentage kama vile kutaka kutishia watu juu ya uwezo wa mchezaji. Sema kajaribu dribbles ngapi na ngapi zimefanikiwa.

Katengeneza nafasi 5. Ngapi zikawa converted kua magoli? Shida ni yeye au striker wenu Joao Pedro?
Ngapi zikahama kutoka kua kutengeneza nafasi mpaka kua assists?
Tangu lini kutengeneza nafasi imekua hoja ya kuonyesha ubora wa mchezaji?

Kaingia kwenye boksi mara 13. Alienda kufanya nini? Alipiga shots ngapi akiwa kwenye hilo boksi?
Kama unahitaji forward aingie kwenye boksi mara 13 ili apate goli moja huku anashindwa kuassist huyu ni mchezaji wa kutishia watu?

Wewe, Lembu, allypipi na flano ni weupe kwenye kuangalia na kuuelewa mpira, timu na wachezaji. Shida sana kuangalia clueless individual akinukuu vitu ambavyo haelewi vina impact au havina
 
Chukua strikers wote waliosajiliwa msimu sawa na Gyokeres halafu angalia nani kampita kwa magoli.
Tusiongelee mafanikio kwakua huko ni mbali
Joao Pederito, na hapo timu ilikua haileweki, hilo striker lako japo timu ilikua na msimu bora bado alikua anaruka ruka tu.

Kuna Ekitike na Gyokeres unachukua yupi? au kuna Isak mzima msimu mzima na Gyokeres unachukua yupi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom