Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wewe Huna wachezaji wa maana na ndio maana Nampa nafasi Spurs kumaliza juu yako
PFA Bruno Fernandes, cunha, mbeumo, maino, Martinez, lammens, rashford, amad, baleba

Improve reasoning yako, me nasubria GW5 ndio nijue timu bora nizipi
Usajili haumaanishi ubora wa timu kama ingekuwa hivyo nyie mngekuwa na makombe yote maana ndio mnaongoza Kwa sajili miaka yote ivi karibuni
 
Joao Pederito, na hapo timu ilikua haileweki, hilo striker lako japo timu ilikua na msimu bora bado alikua anaruka ruka tu.

Kuna Ekitike na Gyokeres unachukua yupi? au kuna Isak mzima msimu mzima na Gyokeres unachukua yupi?
Sawa.

Sasa andika hapa magoli ya Pedro

Magoli ya Isak

Magoli ya Ekitike

Magoli ya Gyokeres
 
Joao Pederito, na hapo timu ilikua haileweki, hilo striker lako japo timu ilikua na msimu bora bado alikua anaruka ruka tu.

Kuna Ekitike na Gyokeres unachukua yupi? au kuna Isak mzima msimu mzima na Gyokeres unachukua yupi?
Nimependa hapo ulipo sema isack mzima. 😀

Labda ungeweka haaland sio hao unaowataja hapo
 
Nachojua Pedro amelipita roboti lako magoli, tena kwenye timu iliyokua tia maji tia maji, wewe sasa ndio ukatae kwa ushahidi kuweka magoli yao.
Mimi ninachojua Gyokeres kawapita magoli wote hao niliowataja na alikua hagewi pasi anatafuta mipira mwenyewe. Wewe unayedai hilo ni roboti sasa uende ukaangalie magoli
 
TBT miaka 15 iliyopita Wenger orphans tuliwafanya kitendo kibaya sana hawawezi kusaau maisha yao yote

Tulipiga kama ngoma
62g202t798nb1.jpg
 
Ndio ni mechi ya pili usimalize kila kitu team tatu tu zinaubora Zaidi ya Spurs ni Chelsea, Arsenal na Man City. Angalia kiwango cha Liverpool na Man U hawapo kwenye level ya Spurs ndio maana nikaongea hivyo
Usichanganye confidence na evidence. Msimu una mechi 38, sio mbili. Ngoja Spurs wafike December kwanza bila kupotea kwenye top-half, ndipo turudi kwenye hii statement yako ya hawapo level ya Spurs.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom