Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,942
- 78,953
Nyinyi hamtaki tena kusema mnajenga timu?Mlibahatisha msimu uliopita hamuwezi bahatisha tena
Bingwa ni Liverpool
Nani hayaogopi Majogoo?
Nyinyi hamtaki tena kusema mnajenga timu?Mlibahatisha msimu uliopita hamuwezi bahatisha tena
Bingwa ni Liverpool
Nani hayaogopi Majogoo?
Naona mmekaa kimya baada ya matokeo ya janaNyinyi hamtaki tena kusema mnajenga timu?
No clean sheet.Naona mmekaa kimya baada ya matokeo ya jana
Tangu Blueco wamiliki Chelsea msimu huu ndio tuna defence nzuri sana partnership ya Lacroix na Colwil itasumbua sana EPL shida yetu ni moja Sanchez sijui ni mtukane kiasi gani nilijua msimu huu atabadilika ila karudi vile vile kawazawadia Fulham mabao yote mwili kirahisi kabisa huyu jamaa anakera ile mbayaNo clean sheet.
Poor defense awareness.
Wachezaji wako bora Enzo kaanzia benchi Caicedo hajulikani alipo.
Kipa hamna kitu.
Hayo ni maelezo ya online jana sijaangalia mechi sina cha kusema.
Caicedo alikuwa ana umwa tumbo wakati wa warm up ndio maana hakucheza hii game nahitamani sana front 3 yetu ya mbele ni unstoppable Cole Palmer, Joao Pedro na Morgan Rogers omba hiyo usikutane nayo ndio imeamua mechi ya jana ila yule mpumbavu Sanchez akawa anatukaba Nina Imani game inayofuata Hatokaa golini namjua vizuri Xabi Hana uvumilivu.Chelsea anacheza na Brighton, akimalizana na Brighton anakutana na Arsenal.
Online wanadai Morgan asingefunga hilo goli alikua mzururaji tu asiye na mbele wala nyuma.Caicedo alikuwa ana umwa tumbo wakati wa warm up ndio maana hakucheza hii game nahitamani sana front 3 yetu ya mbele ni unstoppable Cole Palmer, Joao Pedro na Morgan Rogers omba hiyo usikutane nayo ndio imeamua mechi ya jana ila yule mpumbavu Sanchez akawa anatukaba Nina Imani game inayofuata Hatokaa golini namjua vizuri Xabi Hana uvumilivu.
Umeongea kishabiki ZaidiOnline wanadai Morgan asingefunga hilo goli alikua mzururaji tu asiye na mbele wala nyuma.
Kwamba Palmer hii ndiyo mechi yake nzuri baada ya mwaka mzima kucheza makida makida.
Bora Caicedo hakuepo angekuepo lazima na yeye angewabariki Fulham goli
Mimi sijaangalia mechi.Umeongea kishabiki Zaidi
KitakwimuUmeongea kishabiki Zaidi
Sasa hiyo ni Takwimu mbaya? Na hiyo ni mechi yake ya Kwanza unaona impactKitakwimu
Morgan amegusa mpira mara 41
Amepiga pasi 23, 16 zilikua sahihi. Pasi nne zilikua za kuingia final third.
Ametengeneza nafasi 5 za kufunga. Hana assist.
Amepokonywa mpira mara 1. Amepoteza mpira mara 3.
Amepiga mashuti 3, 1 ni on target mawili yalikua blocked.
Tukifuatisha takwimu hizo hizo tukamchukua AM wa Fulham, Joshua King, stats zao haziachani.
What does this tell you?
Siyo mbaya kakaSasa hiyo ni Takwimu mbaya? Na hiyo ni mechi yake ya Kwanza unaona impact
Sisi tukiweza kufix suala la Kipa sioni yoyote atakayeweza kushindana na sisiSiyo mbaya kaka
Kwamba unaamini nyinyi changamoto yenu ni kipa tu?Sisi tukiweza kufix suala la Kipa sioni yoyote atakayeweza kushindana na sisi
Tuambiwe wewe changamoto ipi nyingine tunayo?Kwamba unaamini nyinyi changamoto yenu ni kipa tu?
Defence yenu siyo nzuri. Advantage mliyonayo ni kwamba haitatumika mara kwa mara kwakua hamna michuano ya nje.Tuambiwe wewe changamoto ipi nyingine tunayo?
Ubaya wa defence huko wapi sema ni vile haukuangalia mpira Sanchez mguuni ni mbovu na kudaka napo ana makosa yake mipira ansyopiga sio sahihi ndio maana anaiweka team kwenye hatari lakini defenders unaona kazi wanaifanyaDefence yenu siyo nzuri. Advantage mliyonayo ni kwamba haitatumika mara kwa mara kwakua hamna michuano ya nje.
Defence sio mbovu lakini bado haipo sawa, wanapitika kirahisi. Halafu ukiwapgia mipira mirefu kuzuia kwa tabu sana.Ubaya wa defence huko wapi sema ni vile haukuangalia mpira Sanchez mguuni ni mbovu na kudaka napo ana makosa yake mipira ansyopiga sio sahihi ndio maana anaiweka team kwenye hatari lakini defenders unaona kazi wanaifanya
Hiyo ni kwasababu ya midfielder sio Defence hili nimewahi kulisema Chelsea haina midfielder anaeweza kunusa hatari kama Caicedo kitu ambacho kimeshindwa kufanywa na Lavia na JamesDefence sio mbovu lakini bado haipo sawa, wanapitika kirahisi. Halafu ukiwapgia mipira mirefu kuzuia kwa tabu sana.