Ule msimu aliyochukua Rodri mchezaji Bora wa Dunia ulitakiwa achukue ViniMbona timu ambayo anacheza Vinicius haijachukua trophy yoyote kama yeye ndiye ufunguo?
Ule msimu aliyochukua Rodri mchezaji Bora wa Dunia ulitakiwa achukue ViniMbona timu ambayo anacheza Vinicius haijachukua trophy yoyote kama yeye ndiye ufunguo?
Nyie ombeni team zingine zisiwe kwenye ubora ili kusiwepo mseserekoGuimaraes anachukua nafasi ya Noorgard ambaye amejiunga na Everton, Uwanjani Guimaraes anaweza kutumika km box to box that's means he is rotating with Declan rice lakini pia anaingia direct kwenye nafasi ya Defensive midfielder kwa lengo la Ku improve required standard, Zubimendi hapa kazi anayo
We kwetu waga ni mserereko hata usajili nani, kiufupi ligi ishakua ya kwetu sio kwasababu timu nyingi ni dhaifu ila kiukweli we have built a dynasty km asemavyo Arteta, midfield ya Guimaraes + Rice unafikiri mchezo nini, sisi tuna compete na PSG na Real Madrid tu, na Man city km pep angekuwepoNyie ombeni team zingine zisiwe kwenye ubora ili kusiwepo msesereko
Kufika fainal tena kwa kitonga mshajiona mnaweza kucompete na Madrid, PSG hauko serious.We kwetu waga ni mserereko hata usajili nani, kiufupi ligi ishakua ya kwetu sio kwasababu timu nyingi ni dhaifu ila kiukweli we have built a dynasty km asemavyo Arteta, midfield ya Guimaraes + Rice unafikiri mchezo nini, sisi tuna compete na PSG na Real Madrid tu, na Man city km pep angekuwepo
Anthony Martial na yeye aliwekewa clause ya akichukua balon d'or united iongeze hela alipotokaUle msimu aliyochukua Rodri mchezaji Bora wa Dunia ulitakiwa achukue Vini
Angalieni watu tunaotakiwa kushare nao maoni uwezo wao wa kuona ulipoNyie ombeni team zingine zisiwe kwenye ubora ili kusiwepo msesereko
Man Shipa Utd.Nmefurahia mmemukosa vini
Msimu ujao united ubingwa tunautaka sana na nyie ndio kikwazo tu hakuna mwingine wa kumzuia carrick
United bdo tunatafuta back up striker na midfielder mmoja
TUTAUANA
Kwa kweli.Naangalia game ya Emirates Cup kiukweli tuna deadwood 2 zinatakiwa tuziondoe AQAP maana zinatutpotezea muda tu na haziwezi kutusaidia chochote. Kepa na Havertz ni wachezaji wa kuwaondoa mapema sana.
Mbona watu wameshangilia au wewe ulitakajeMudryk karudi Chelsea ila hakuna anayeshangilia kurudi kwake.
Umeona wapi hizo?Mbona watu wameshangilia au wewe ulitakaje
Mashabiki wa mpira sio Chelsea fan's only waliofurahia itajuaje kijana kama umezoea kuperuzi jamiiforumUmeona wapi hizo?
Huyu jamaa hamtokaa mumsahau manina. Kama mwanamke na mtu aliembikiri.Mudryk karudi Chelsea ila hakuna anayeshangilia kurudi kwake.
Nyinyi ndiyo mmebikiriwa na Mudryk au umemaanisha nini we kipipaHuyu jamaa hamtokaa mumsahau manina. Kama mwanamke na mtu aliembikiri.
HaujaulizwaBaada ya mechi ya jana Chelsea haitapanda tena ndege kucheza mechi mpaka msimu ujao wakiwa wanajiandaa na preseason.
Manina
Najua ni ngumu, lkn tetesi zilikuwepo.Kwa akili yako ya Kawaida ulifikiri Arsenal Wanaweza kumsajili Vini
Camp ya Vini walifanya hivyo ili kupush deal na Madrid na hatimaye wamefanikiwa ila Vini hakuwa na mpango wa kujiunga na ArsenalNajua ni ngumu, lkn tetesi zilikuwepo.
Hawa jamaa Huwa nawaza imekuaje mpk wamekuwa mabingwa