Heavy Metal
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,161
- 2,889
So far mwanzo mzuri sana. Misimu ya nyuma tulikua tunaharibiwa mbio za ubingwa na mechi kama hizi za akina Sunderland, Brighton, Brentford, Bournemouth bila kumsahau Aston Villa na Newcastle. Tumepiga Villa kwao, tumechuchukua points 3 juani (Stadium of Lights) next weekend tuko AMEX stadium kwa watukutu wengine Brighton. Tukishinda hii mechi itakua ni huge boost kwa timu yetu kuelekea international break. Timu ipo, at least now unaangalia kwenye bench unaona kuna watu wa kubadilisha mchezo. Kuna mdau amemzungumzia Saka, mi naongeza na Eze, jamaa amekua na performance ya kupanda na kushuka na ni kama anaanza kupoteza kujiamini hivi...!