Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nimeona Kuna tetesi za Skelly kutaka kujiunga na Chelsea anaona atapata mechi chache za kucheza sasa nikajiuliza Kama hapo kwenu anataka assurance ya kupata muda mwingi huku kwetu Chelsea atapataje? sio kwamba ni mchezaji mbaya ni mchezaji mzuri sana lakini huku kwetu tu kuna General Moi Caicedo, Enzo Fernandez na Kuna Romeo Lavia yeye huku atakuwa chaguo la nne hapo ninaposhindwa kuelewa hizi tetesi Kutokana na hizo engine hapo ndio maana tukamuuza Santos kwenda Man u
 
Nimeona Kuna tetesi za Skelly kutaka kujiunga na Chelsea anaona atapata mechi chache za kucheza sasa nikajiuliza Kama hapo kwenu anataka assurance ya kupata muda mwingi huku kwetu Chelsea atapataje? sio kwamba ni mchezaji mbaya ni mchezaji mzuri sana lakini huku kwetu tu General Moi Caicedo na Enzo Fernandez na Kuna Romeo Lavia yeye huku atakuwa chaguo la nne hapo ninaposhindwa kuelewa hizi tetesi Kutokana na hizo engine hapo ndio maana tukamuuza Santos kwenda Man u
Nafikiri hizi ni story za kutungwa tu kwa upande wa Chelsea kwa sababu, kama ulivyosema, Chelsea nako kumejaa wachezaji wa namba zake. Nafikiri Manyumbu wana nafasi nzuri zaidi ya kumpata ila sidhani kama dogo ataondoka Arsenal hivi karibuni.
 
IMG_20260812_212311_635.png
 
Nimeona Kuna tetesi za Skelly kutaka kujiunga na Chelsea anaona atapata mechi chache za kucheza sasa nikajiuliza Kama hapo kwenu anataka assurance ya kupata muda mwingi huku kwetu Chelsea atapataje? sio kwamba ni mchezaji mbaya ni mchezaji mzuri sana lakini huku kwetu tu kuna General Moi Caicedo, Enzo Fernandez na Kuna Romeo Lavia yeye huku atakuwa chaguo la nne hapo ninaposhindwa kuelewa hizi tetesi Kutokana na hizo engine hapo ndio maana tukamuuza Santos kwenda Man u
Skelly hawezi kuondoka Arsenal. Hakuna timu itamnunua Skelly ili akakae benchi, kiungo yeyote wa chelsea ili aanze na Skelly aanze inabidi asicheze box to box akubali kua AM kama Enzo. La sivyo anakula bench dogo anaanza.
 
Labda camp yake wametumia jina la Chelsea ili apushi maslahi yake hapo klabuni kwenu ni kama anachokifanya Sasa Enzo Fernandez anataka aongezewe mshahara ufike pound 200,000 so akawa anawatumia Madrid na bahati nzuri Madrid wakakanusha na Sasa anawatumia Man City na janja yake Chelsea wamestuka
 
Kabla hajazidi kua kituko na hii picha yake ni vyema akahama ligi. Huyo Lavia ni pancha sidhani kama kawahi kucheza mechi mbili mfululizo halafu amuweke bech Skelly
images.jpeg
 
View attachment 3649737
Hivi unajua kwanini mpaka Leo Chelsea Wana Lavia pamoja na injury alizonazo na badala yake wakamuuza Santos? Romeo Lavia ni mchezaji mwenye quality kubwa sana na ndio maana club inapambana hasipate tena injury ni sawa useme tuuze Reece James eti kwasababu ya injury zake wakati tunajua akiwa fit tunapata quality ya maana tatizo lenu la mshabiki wa Arsenal hamuheshimu mpira mnaongozwa na mapenzi ulichofanya hapa umemkosea sana Lavia adabu kumfananisha na Skelly.
 
Huyo kichwa chake huwa kinapga shoti, anaongeaga hovyo km amekatwa kichwa, wkt mareject yetu ndio yanaendaga kuwa 1st eleven kwao, sterling, kepa, havertz, madueke
 
Hivi unajua kwanini mpaka Leo Chelsea Wana Lavia pamoja na injury alizonazo na badala yake wakamuuza Santos? Romeo Lavia ni mchezaji mwenye quality kubwa sana na ndio maana club inapambana hasipate tena injury ni sawa useme tuuze Reece James eti kwasababu ya injury zake wakati tunajua akiwa fit tunapata quality ya maana tatizo lenu la mshabiki wa Arsenal hamuheshimu mpira mnaongozwa na mapenzi ulichofanya hapa umemkosea sana Lavia adabu kumfananisha na Skelly.
Kwenye kikosi chenu mchezaji ambaye ukisema ana kiwango na ngumu kukataa ni Reece James.

Lavia hamumuuzi kwakua hakuna anayemtaka, Santos siyo CM wa kuhesabu una CM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom