Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Inanifikirisha kwamba sasa hivi tuna Skelly, Odegaard, Rice, Zubimendi, Nwaneri, Eze, Merino, Vieira hapa hatujahesabu Kai na Nelson ambao wanaweza kucheza midfielders.

Na sasa anaongezwa Bruno. Huyu jamaa tulishindwa kumnunua akiwa Lille kwavile Newcastle walikua wanagawa hela kama vile hakuna kesho. Leo tumespend 75M kwaajili yake akiwa na miaka 30.

Now Arsenal sisi siyo selling club, hatuwi na mchezaji na kuwaza atauzwaje, so hili haliwezi kua tatizo kwa bodi. Ila sasa anachukua namba ya nani?

Skelly na Nwaneri wanahitaji game time kukua, kuna tetesi za United kumtaka Skelly. Idadi ya viungo wazoefu inatishia ukuaji wa hawa chipukizi. Skelly, pamoja na kuipenda Arsenal kiasi kwamba ilimgharimu kutoitwa WC sioni akipoteza tena muda kutocheza.

Let's wait and see
Marekebisho bruno G ana 28 anaelekea 29
 
Arsenal wanajua biashara bana ingekuwa cheltako wangeuziwa 120m
Chelsea inajua biashara zaidi ya Arsenal yaani mmetoa pound 75 kwa mchezaji ambaye ni aged alafu mnaona ni wajanja, Chelsea imekubali kutoa 117 kwa Rogers ni kwasababu walikuwa wanamuhitaji misimu miwili iliopita kutokana na uwezo na mahitaji ya team, Pili ni muingereza huwa wachezaji wao wanauzwa Bei za juu,Tatu Astoni Villa sio warahisi linapokuja suala la biashara na wanamsimamo pia kumbuka ndio mchezaji wao bora
 
Hela iliyolipwa could be recouped in his first season at the club, through sales of his shirt, rewards from winning titles
 
Hela iliyolipwa could be recouped in his first season at the club, through sales of his shirt, rewards from winning titles
Pia kumbukeni hamuwezi kufanya resale value kwa Bruno alafu pia Bruno sio brand player useme utarudisha kupitia uuzwaje wa jezi ungeniambia Vini sawa ila sio hiyo ingawa ni mchezaji mzuri
 
Team yenu sio ya kuchukua ubingwa but itategemea na team zingine zimejipangaje bado kwenye eneo la mbele mna shida. Arteta na management nzima ilifanya kosa kubwa kununua mshambuliaji tena kwa pesa nyingi ambaye hafit mfumo wake Victor Gyokerez atazidi kuendelea kuwa mchezaji wa kawaida akiwa hapo. Mfumo wa Arteta unahitaji kuwa na mshambuliaji mnyumbulifu mwenye uwezo wa kucheza false no 9 aina ya Lautaro Martinez au Alvarez, Gyokerez sio aina hii ya mshambuliaji na ndio maana anapata wakati mgumu kwasababu team haichezi kumzunguka yeye kwahiyo ataendelea kupata shida kuscore badala yake ataendelea kutegemea Zaidi kufunga magoal ya penalty.Nafasi nyingine ni upande wa beki hamna mbadala mzuri wa Saliba
 
Team yenu sio ya kuchukua ubingwa but itategemea na team zingine zimejipangaje bado kwenye eneo la mbele mna shida. Arteta na management nzima ilifanya kosa kubwa kununua mshambuliaji ambaye hafit mfumo wake Victor Gyokerez atazidi kuendelea kubwa mchezaji wa kawaida akiwa hapo. Mfumo wa Arteta unahitaji kuwa na mshambuliaji mnyumbulifu mwenye uwezo wa kucheza false no 9 aina ya Lautaro Martinez au Alvarez, Gyokerez sio aina hii ya mshambuliaji na ndio maana anapata wakati mgumu kwasababu team haichezi kumzunguka yeye kwahiyo ataendelea kupata shida kuscore badala yake ataendelea kutegemea Zaidi kufunga magoal ya penalty.Nafasi nyingine ni upande wa beki hamna mbadala mzuri wa Saliba
Kenge nani kakupa ruhusa ya kutoa ushauri humu?

Wewe kashauriane na kina Bournemouth na Palace
 
HOXB9GjbYAAVlM7.jpg
HOXB9GjbYAAVlM7.jpg

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa ambao mnatamani Vinicius aje Emirates naamini angekua wa kuja angeshakuja.

Anachokililia pale Madrid Arsenal wamekiweka mezani, ingekua hiyo ndiyo inamuumiza kichwa angekua kashatoka.

Ila kwa sasa anatumia ofa ya Arsenal kubargain ofa ya Madrid.

Binafsi naona jamaa ni aina ya star atayezingua dressing room but uwanjani huwezi kumpinga, Madrid wamesema ofa ndiyo hiyo hataki asepe
Hii ilionekana mwanzo kabisa
 
Inanifikirisha kwamba sasa hivi tuna Skelly, Odegaard, Rice, Zubimendi, Nwaneri, Eze, Merino, Vieira hapa hatujahesabu Kai na Nelson ambao wanaweza kucheza midfielders.

Na sasa anaongezwa Bruno. Huyu jamaa tulishindwa kumnunua akiwa Lille kwavile Newcastle walikua wanagawa hela kama vile hakuna kesho. Leo tumespend 75M kwaajili yake akiwa na miaka 30.

Now Arsenal sisi siyo selling club, hatuwi na mchezaji na kuwaza atauzwaje, so hili haliwezi kua tatizo kwa bodi. Ila sasa anachukua namba ya nani?

Skelly na Nwaneri wanahitaji game time kukua, kuna tetesi za United kumtaka Skelly. Idadi ya viungo wazoefu inatishia ukuaji wa hawa chipukizi. Skelly, pamoja na kuipenda Arsenal kiasi kwamba ilimgharimu kutoitwa WC sioni akipoteza tena muda kutocheza.

Let's wait and see
Guimaraes anachukua nafasi ya Noorgard ambaye amejiunga na Everton, Uwanjani Guimaraes anaweza kutumika km box to box that's means he is rotating with Declan rice lakini pia anaingia direct kwenye nafasi ya Defensive midfielder kwa lengo la Ku improve required standard, Zubimendi hapa kazi anayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom