Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

bruno japo ni mchezaji mzuri lakini sioni kama ni shida sana za arsenal kiasi cha kutoa pesa yote hiyo kumpata ,wabadala wa muhimu kuwatafuta sokoni kwa sasa ni wa ødegaard na saliba.

hao jamaa wakikosekana huwa timu inayumba kimtindo!
 
Kwa ambao mnatamani Vinicius aje Emirates naamini angekua wa kuja angeshakuja.

Anachokililia pale Madrid Arsenal wamekiweka mezani, ingekua hiyo ndiyo inamuumiza kichwa angekua kashatoka.

Ila kwa sasa anatumia ofa ya Arsenal kubargain ofa ya Madrid.

Binafsi naona jamaa ni aina ya star atayezingua dressing room but uwanjani huwezi kumpinga, Madrid wamesema ofa ndiyo hiyo hataki asepe
 
Screenshot_20260801-211412.png
 
Vini na kambi yake wanataka kuifanya arsenal kama RAMOS kwa MAN U,
Ramos wanavujisha habari anaenda man u kuitishia madrid imwage mpunga mezani.

Vini ni mchezaji mzuri uwanjani, ila ana vitabia vya hovyo hovyo mnooo, hata ukiwa kwenye timu moja nae kuna muda utakereka
 
Hii biashara ujuee.. Ngoja tuone hii week
 
Sasa timu imenunua Rodgers halafu iongeze na Vinicius wa nini?

Vinicius alisababisha Alonso afukuzwe Madrid unadhani Alonso ana hamu na Vinicius?

Tabia ya vinicius ya unnecessary attention ni ngumu yeye kwenda Arsenal na wewe umejudge kutokana na hilo. Haujajudge juu ya financial muscle ya kumlipa zaidi ya 400K per week
Sio mbappe ndo walimuharibia Alonso na kuchochea wachezaji wenzake wasioneshe uungwana ktka sherehe za fainali Copa de Rey na kumdharau kocha wao pia
 
Leo nimekutana na shabiki la Manchester likiongea kwa uchungu sana kuhusu hizi tetese za Arsenal na Vini.

Limeapia kwa kulamba mchanga kwamba hatuna ubavu wa kumtoa Vini pale Bernabeu.

Hizi habari aisee zinawatesa sana washkaji [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kwa akili zenu timamu kbs mnaamini vin anaweza akaja kwenye kakundi kenu hako kavikoba.
 
Kuna jamaa miaka mitatu au minne nyuma alikua anamuhitaj sana Bruno G aje Arsenal .. Naamin uyo jmaa bado yumo umo umo tena sio mmja ni wawili kama sijakosea,, kwa usajili huu aje atuambie aliona nin kwa bruno wkat ule na kimekosekana misimu yote hadi Arteta ku
 
Inanifikirisha kwamba sasa hivi tuna Skelly, Odegaard, Rice, Zubimendi, Nwaneri, Eze, Merino, Vieira hapa hatujahesabu Kai na Nelson ambao wanaweza kucheza midfielders.

Na sasa anaongezwa Bruno. Huyu jamaa tulishindwa kumnunua akiwa Lille kwavile Newcastle walikua wanagawa hela kama vile hakuna kesho. Leo tumespend 75M kwaajili yake akiwa na miaka 30.

Now Arsenal sisi siyo selling club, hatuwi na mchezaji na kuwaza atauzwaje, so hili haliwezi kua tatizo kwa bodi. Ila sasa anachukua namba ya nani?

Skelly na Nwaneri wanahitaji game time kukua, kuna tetesi za United kumtaka Skelly. Idadi ya viungo wazoefu inatishia ukuaji wa hawa chipukizi. Skelly, pamoja na kuipenda Arsenal kiasi kwamba ilimgharimu kutoitwa WC sioni akipoteza tena muda kutocheza.

Let's wait and see
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom