Mbaya zaidi wachezaji wazuri wenyewe wanatupendaHivi tunavochukiwa tukimpata Bruno G tutachukiwa zaidi 😁
View attachment 3625706
Huyu aja huyu.Hivi tunavochukiwa tukimpata Bruno G tutachukiwa zaidi 😁
View attachment 3625706
Hamchukiwi, hata aje messi nyie punguzeni tu midomo.Hivi tunavochukiwa tukimpata Bruno G tutachukiwa zaidi 😁
View attachment 3625706
Deal lipo on mzeeNimefurahi deal la Morgan Rogers limefuka, he wasn't my choice
Na bahati hiyo hawana viande hawa. wana nux, kuna uwezekano mkubwa sana kwenye kombe la dunia hili bingwa akawa hana Arsenal player, wamenyewa hawa mamaeeArsenal wanaamini katika bahati tu sio kupambana
You guys are so obsessed with us, asa world cup inahusiana vipi na Arsenal.Na bahati hiyo hawana viande hawa. wana nux, kuna uwezekano mkubwa sana kwenye kombe la dunia hili bingwa akawa hana Arsenal player, wamenyewa hawa mamaee
Siyo muhimu, ila David Raya, Martin Zubimendi na Mikel Merino ni raia wa Spain. Wakikosa gold basi silver wanayo.Na bahati hiyo hawana viande hawa. wana nux, kuna uwezekano mkubwa sana kwenye kombe la dunia hili bingwa akawa hana Arsenal player, wamenyewa hawa mamaee
Obsessed vipi tena mjomba?? Tatizo lenu ndio hilo mnapenda kuwaza vitu visivyoeleweka, Mwanzoni mlivyokua mnasema hakuna mchezaji wa chelsea aliyefunga kumbe mlikua obsessed??You guys are so obsessed with us, asa world cup inahusiana vipi na Arsenal.
Wachezaji wa akiba hahahahaSiyo muhimu, ila David Raya, Martin Zubimendi na Mikel Merino ni raia wa Spain. Wakikosa gold basi silver wanayo.