Mtoto wa tajiri
JF-Expert Member
- Jun 24, 2019
- 228
- 411
Wanaitwa 'finishers' kikwetu.Wachezaji wa akiba hahahaha
Bado wapo obsessed na machampioniYou guys are so obsessed with us, asa world cup inahusiana vipi na Arsenal.
Poleni sana mchezaji kachagua mabingwa wa duniaIla Chelsea ni mazenge
Poleni Chelsea huwa hatujui kulembaMorgan Rogers
Poleni sana mchezaji kachagua mabingwa wa dunia
Kwani wewe unachangia kiasi gani mpaka ikuume? Market ndio iko hivyo Anderson kasajiliwa na Man City na 112 ukiachana na hivyo kwani tulitoa kiasi gani kwa Enzo Fernandez na Caicedo na kelele zilikuwa nyingi mwisho wa siku mkakaa kimya.Lazima ujue kijana ukitaka kumpata mchezaji mzuri kubali kuingia gharamaHoja yoyote nitayoandika hapa ni hoja niliandika wakati mnamchukua Mudryk, Zakaria, Santos na wengine. Arsenal ilionyesha interest kwa Rogers ikawa inataka kupeleka 50M, timu iliyotoka kuchukua ubingwa imeona Rogers ana thamani hiyo, timu iliyoshika nafasi ya kumi inatoa 117M.
Kubababake.
Mimi sichangii sikujua kama inanizuia kutoa maoni.Kwani wewe unachangia kiasi gani mpaka ikuume? Market ndio iko hivyo Anderson kasajiliwa na Man City na 112 ukiachana na hivyo kwani tulitoa kiasi gani kwa Enzo Fernandez na Caicedo na kelele zilikuwa nyingi mwisho wa siku mkakaa kimya.Lazima ujue kijana ukitaka kumpata mchezaji kubali kuingia gharama
Pesa utoi wewe kwanini ikuume mchezaji kusajiliwa kwa pound 117M? Ingekuwa mchezaji ni mbaya kwa kweli hata sisi tungepiga kelele lakini mchezaji ni mzuri kwanini niumie club yangu kutoa mpunga mrefuMimi sichangii sikujua kama inanizuia kutoa maoni.
Kwakua wewe unachangia uwanja ni wako endelea kutoa maoni.
Sawa bwana mkubwa. Hapo kweli una haki ya kutoa maoniPesa utoi wewe kwanini ikuume mchezaji kusajiliwa kwa pound 117M? Ingekuwa mchezaji ni mbaya kwa kweli hata sisi tungepiga kelele lakini mchezaji ni mzuri kwanini nitumie club yangu kutoa mpunga mrefu
Kubali mpepigwaHoja yoyote nitayoandika hapa ni hoja niliandika wakati mnamchukua Mudryk, Zakaria, Santos na wengine. Arsenal ilionyesha interest kwa Rogers ikawa inataka kupeleka 50M, timu iliyotoka kuchukua ubingwa imeona Rogers ana thamani hiyo, timu iliyoshika nafasi ya kumi inatoa 117M.
Kubababake.
Kwani Mudryk alikua na umri gani wakati mnamchukua?Morgan Rogers ana miaka 23 TU!
Ni nyota aliyethibitika kwenye Premier League, ana uzoefu mkubwa na kipaji cha hali ya juu, bado HAJAINGIA kwenye PRIME yake!
Yeye ni UNSTOPPABLE kabisa!
Kubalini tu mmepigwa
View attachment 3632546
Ngoja msimu uanze. Akiwa vizuri nitasema kweli tumekosa jembe, akiwa shit nitakuepo hapaKubali mpepigwa
Rodgers ni profile huwezi kuipata sehemu nyingine kirahisi rashi. Ni mashambuliajiw a soka la kisasa anayefit kwenye mifumo kama ya akina Xabi Alonso sio huyo expert wenu wa kona na kukumbatia wachezaji pinzani.
Ndani ya msimu mmoja tu Morgan Rodger hauziki hata ka mil 200
View attachment 3632545
Ila ww jamaa eti 50M vitu vingine tuache hujuaji wakati mlitaka kupeleka 100M hakuna mchezaji mzuri utampata kwa bei rahisi sasa mfano mzuri kwa Bruno kule bado ofa yenu ipo chiniHoja yoyote nitayoandika hapa ni hoja niliandika wakati mnamchukua Mudryk, Zakaria, Santos na wengine. Arsenal ilionyesha interest kwa Rogers ikawa inataka kupeleka 50M, timu iliyotoka kuchukua ubingwa imeona Rogers ana thamani hiyo, timu iliyoshika nafasi ya kumi inatoa 117M.
Kubababake.