Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Najua unanipamba hahahaha.

Japo kiuhalisia Arsenal last season kilichotubeba ni uwezo wa Jova zaidi kuliko wa Arteta.

Ingawa hilo haliondoi ukweli kuwa bado na hayo mapungufu yetu lakini ndio tulikuwa bora kuliko timu yoyote pale Epl.

Final ya Uefa ndio ilikuja kuonesha uhalisia wa uwezo wa Arteta kwa upande wangu sioni kama tulikuwa na wachezaji dhaifu wasioweza kubattlle na Psg.

Hawa Psg ni mara ya 3 wanatufunga katika mechi muhimu za kuamua.Hii inaonesha ni kwa kiwango gani uwezo wa Arteta ulivyo chini.

Arteta kafungwa na Man city mechi ya final na ya ligi kipuuzi sana.Anapanga kikosi kipuuzi akiwa anakutana na city.

Odegaard katoka majeruhi anaenda kumuweka game na city
Ulitaka tu battle nini kwenye penalty shootout? Kiufupi mpira hujui, yaani hustahili kuchangia chochote humu, mnatia kinyaa na hizi comment zenu nyie laymen
 
Unajua mashabiki wa Arsenal, man city na liverpool kidogo wana ball knowledge ambayo wanaweza Ku discuss kitu wakaeleweka, na hii ni uwezo wa makocha km pep, klopp na Arteta kuwafungua mashabiki hawa vision ya kuona mpira kitofauti, kuna hizi takataka za nyumbu na cheltako ni zero brain zisizojua chochote kuhusu mpira wa kileo, yaani ukiona comment zao ujue ni pumba Tupu na mipasho
 
Shida hapo juu hawezi bila ya kubadilika, kwake mpira anauogopa kama umeme,
Unavyokuja ndio unavyorudi kama treni bwana!!!

Box to box kuna muda unachanja mbuga na mali, lazima uwe muongo muongo sana, sifa hizi mbili hana, hiyo ni shida kubwa kwake, afanye mazoezi ajifunze mbinu tofauti tofauti anaweza kuwa bora
Zubi ni DLP lakini haoneshi kabisa kuitaka Mali, no progressive passes, anaogopa ligi maybe, labda msimu ujao anaweza kubadilika, ø huwa simuelewi kiivo lkn mwisho wa msimu nilikuwa nammiss tukimkosa ø maana Zubi alipotea mazima, Build up yetu sikuhizi imekuwa tukimkosa ø basi game over, very predictable, thanks God dogo MLS katurescue hapa mwishoni mwa msimu
 
Zamani tulikuwa na Xhaka, a pass first DM, Jorginho pia, Partey hakuwa mzuri sana ku pass lkn he was built different, a holding mid mwenye uwezo wa Ku progress thru carries in the middle of th park, kuna huyu Xhaka this nigga is gifted, game ya juzi ya uswiss ametisha sn, anazeeka km pirlo, piga pass ile deep lying paka mpira wenyewe unamtii, afu kuna Zubi ambaye yeye haitaki Mali!
 
Anapaswa kubadilika, apige zoezi la kutosha, kuna vitu akifanyia kazi atakiwa poa, otherwise hatufai.
 
Zamani tulikuwa na Xhaka, a pass first DM, Jorginho pia, Partey hakuwa mzuri sana ku pass lkn he was built different, a holding mid mwenye uwezo wa Ku progress thru carries in the middle of th park, kuna huyu Xhaka this nigga is gifted, game ya juzi ya uswiss ametisha sn, anazeeka km pirlo, piga pass ile deep lying paka mpira wenyewe unamtii, afu kuna Zubi ambaye yeye haitaki Mali!
Na hiki ndicho nilikuwa nampendea partey.. hayuko straight, kuna muda atacheza one touch, kuna muda ata turn, ataachia moja, kuna muda atadrible.. atasogeza timu juu.. partey was too good, alikuwa anacheza vile napenda namba 6 icheze, kuna vitu vichache mnoo lakini mengine ni mazuri sana kuficha hayo madhaifu.

Zubi anauogopa mpira kama jna moto vile
 
Zamani tulikuwa na Xhaka, a pass first DM, Jorginho pia, Partey hakuwa mzuri sana ku pass lkn he was built different, a holding mid mwenye uwezo wa Ku progress thru carries in the middle of th park, kuna huyu Xhaka this nigga is gifted, game ya juzi ya uswiss ametisha sn, anazeeka km pirlo, piga pass ile deep lying paka mpira wenyewe unamtii, afu kuna Zubi ambaye yeye haitaki Mali!
Xhaka, juzi tu tumemuongelea hapa leo nasikia Chelsea wanamtaka, kama unajua unajua tu
 
Incase Kenge na nyumbu zimesahau
20260529_210044.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom