Daah sisi wajinga sana sometimes. Baada ya goli la Havertz tulitakiwa tufanye hivi mechi nzima.View attachment 3598668
Wenetu hao.
Uchambuzi wa masingeli umetoa wapi mkuu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli anakwambia usitegemee kubeba kombe la maana kama Uefa kwa huu mpira wa papatu papatu wanaocheza Arsenyashi, yaani timu haipati matokeo mpaka wamzongezonge kipa wakipata kona.
Inshort Masingeli hapendezwi kabisa na hii Haram football aliyokuja nayo Tetea Kiwigi.
Masingeli anadai hata hii PL mmebeba kwa bahati tu kutokana na form mbovu ya big 5 team's msimu huu. View attachment 3599387
Mkuu HENRY14 ukute hiyo 350% kwa idadi ni pieces 200 tu!
Arsenal kwa sasa mna mbwembwe sana nyie watu
Nadhani polisi wangeweka doria kwa ajili ya usalama wa raia wasio Gunners mkuu.Aah wapi. Hapo tumepata mshiko wa kutosha kumchukua Kvaratskhelia 😁😁😁.
Yaani tusingezingua jumamosi tukabeba kombe, hata sitaki kufikiria dunia ingekuwaje aisee.
Msimu ujao haswa.Acha tulete maingizo mapya kwanzaSWALA LA MUDA TU, UEFA ITAKUJA
And they know It.SWALA LA MUDA TU, UEFA ITAKUJA
SWALA LA MUDA TU, UEFA ITAKUJA
Msimu ujao haswa.Acha tulete maingizo mapya kwanza
Endeleeni kuota nyie mazwazwa.And they know It.