Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

.
1780987184034.jpg
1780987329863.jpg
 
Sisi ni Moja ya timu bora na nzuri barani ulaya(take it or leave it)

Tumekuwa mabingwa Epl and almost won champions league(not for everyone)

Kimsingi tunahitaji maboresho ya wachezaji kadhaa ikiwemo
-left wing
-mid
-Rightback

Ila kuna kitu kimetunyima ushindi kwenye mechi kubwa na za kimaamuzi.

Sio quality ila ni which kind of quality.mid yetu Ina quality ya kutosha eg rice,ode,eze,merino,Kai and lewis.

Ila kama umeitazama arsenal kwa MSIMU mzima ni kama tuna energy,quantity,quality,desire to win a match ila kuna certain kind of quality tunakosa.

We are not comfortable with the ball hasa kwenye mid.ukitazama mpira kwa sura ya structure and pattern of play huwezi ona hili tatizo.

Ukizungumzia different approaches for different games huwezi ona hii shida.

It's like we are compact(yes we are)ila in a very proactive approach(defensively).

Hatuko compact offensively ila tuko compact defensively.

Shida sio MIDFIELD ila ni what kind of midfield.we lack some one or something in MID.
-Mtu ambaye sio tu anakupa energy ila pia anaset temple ya game hasa kunapokuwa na pressure kubwa.

-mtu ambaye anaweza Fanya kitu nje ya structure na patterns.
-Mtu ambaye ni baller and driver at the sametime.
-wachezaji tulionao ni kama wamekuwa "addicted" na mfumo.
-anahitajika mtu ambaye mpira ukimfikia,wings na striker wanasogea mbele bila hofu ya mpira kupotea no matter type of pressing they are facing.
-such a person in our team is not supposed to be the engine with best horsepower but a "pure brain" or a "chip"

Anyway kwa mpira wa sasa ni kazi sana kupata watu wa aina hii,ila hiyo ni task ya scouting team.

Tunahangaika mnooo tukikutana na team ambazo ni pressing machine na Zina middles ambao ni purely "gifted"
 
In case mmeanza kujisahau!"
Timu zenye UCL pale EPL ni;
Villa
N.forest
City
Utd
Chelsea
Liverpool

Wengine ni wasindikiza upepo tu !'""""kataa matapeli
Endeleeni kuota nyie mazwazwa.

View attachment 3601583
Nyie si ajabu timu zenu hazina hata matumaini ya kuchukua kikombe chochote msimu ujao mmebaki kujifariji na psg. Mtaendelea kuwa wasindikizaji na kushabikia timu pinzani tutazoface ili kujifariji na ukame wenu wa makombe makubwa.
Rent free!!
 
Sisi ni Moja ya timu bora na nzuri barani ulaya(take it or leave it)

Tumekuwa mabingwa Epl and almost won champions league(not for everyone)

Kimsingi tunahitaji maboresho ya wachezaji kadhaa ikiwemo
-left wing
-mid
-Rightback

Ila kuna kitu kimetunyima ushindi kwenye mechi kubwa na za kimaamuzi.

Sio quality ila ni which kind of quality.mid yetu Ina quality ya kutosha eg rice,ode,eze,merino,Kai and lewis.

Ila kama umeitazama arsenal kwa MSIMU mzima ni kama tuna energy,quantity,quality,desire to win a match ila kuna certain kind of quality tunakosa.

We are not comfortable with the ball hasa kwenye mid.ukitazama mpira kwa sura ya structure and pattern of play huwezi ona hili tatizo.

Ukizungumzia different approaches for different games huwezi ona hii shida.

It's like we are compact(yes we are)ila in a very proactive approach(defensively).

Hatuko compact offensively ila tuko compact defensively.

Shida sio MIDFIELD ila ni what kind of midfield.we lack some one or something in MID.
-Mtu ambaye sio tu anakupa energy ila pia anaset temple ya game hasa kunapokuwa na pressure kubwa.

-mtu ambaye anaweza Fanya kitu nje ya structure na patterns.
-Mtu ambaye ni baller and driver at the sametime.
-wachezaji tulionao ni kama wamekuwa "addicted" na mfumo.
-anahitajika mtu ambaye mpira ukimfikia,wings na striker wanasogea mbele bila hofu ya mpira kupotea no matter type of pressing they are facing.
-such a person in our team is not supposed to be the engine with best horsepower but a "pure brain" or a "chip"

Anyway kwa mpira wa sasa ni kazi sana kupata watu wa aina hii,ila hiyo ni task ya scouting team.

Tunahangaika mnooo tukikutana na team ambazo ni pressing machine na Zina middles ambao ni purely "gifted"

naona lewis-skelly akiboreshwa vizuri kimbinu na kiufundi anaweza kabisa ku offer kitu timu ina miss kwenye mid au solution nyengine ni trossard next season kama atabaki atoke kwenye wing arudi kati kwenye mid pia itasaidia.

all in all ,left wing na mchezaji mmoja wa mid mwenye sifa kama ulizo elezea hapo anahitajika.

mido karibia zote za arsenal.. mipira kwao ni ya moto.. mpk unaona ni kheri partey asingeondoka.
 
Jesus,Trossard,Martinell,Odegaard hawa ni miongoni mwa wachezaji ambao hawastahili kubaki klabuni kama kweli tunahitaji EPL.

Ode huyu ndio anaongoza kuikwamisha timu kila akiwepo yeye Arsenal ndio inakuwa butu zaidi katika kushambulia.

Martinel kagoma kukua kiuwezo ni hasara sana hii,Trossard kazi na umri.

Jesus ni mfanyakazi hewa.

La muhimu zaidi Arteta ana uwezo mdogo sana wakimbinu.

Wale Psg sio wakutuchezea mpira ule tena final ni dharau kubwa ile.

Kocha ana kariri madesa.
 
Kawasilishe malalamiko yako bodi au tafuta timu nyingine ya kushabikia
 
Jesus,Trossard,Martinell,Odegaard hawa ni miongoni mwa wachezaji ambao hawastahili kubaki klabuni kama kweli tunahitaji EPL.

Ode huyu ndio anaongoza kuikwamisha timu kila akiwepo yeye Arsenal ndio inakuwa butu zaidi katika kushambulia.

Martinel kagoma kukua kiuwezo ni hasara sana hii,Trossard kazi na umri.

Jesus ni mfanyakazi hewa.

La muhimu zaidi Arteta ana uwezo mdogo sana wakimbinu.

Wale Psg sio wakutuchezea mpira ule tena final ni dharau kubwa ile.

Kocha ana kariri madesa.
[emoji106] Mbege10 wewe ni shabiki pekee humu wa Arsenal anaejielewa.
Wenzio karibia wote hawapendi kuona mtu anazungumzia mapungufu na madhaifu ya timu yao, hivyo jiandae kisakolojia kabisa kukosolewa, kubezwa, kutukanwa, kuitwa mamluki.
Humu kuna misukule mingi yaani hata uje na facts yenyewe hailewi, hata timu izingue namna gani yenyewe inataka timu isifiwe tu.
 
Wenzio karibia wote hawapendi kuona mtu anazungumzia mapungu na madhaifu ya timu yao, hivyo jiandae kisakolojia kabisa kukosolewa, kubezwa, kutukanwa, kuitwa mamluki, humu kuna misukule mingi yaani hata uje na facts yenyewe hailewi, hata timu izingue namna gani yenyewe inataka timu isifiwe tu.
We jamaa huchezeagi kabisa fursa za kufanya unafiki na uchochezi 😁😁😁
 
We jamaa huchezeagi kabisa fursa za kufanya unafiki na uchochezi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ni fact mkuu, huyu Mbege10 nimemfatilia muda mrefu sana jamaa anajua ball, tatizo lake ni kushabikia timu ya wanazi ambao wanachojua wao ni mapambio tu, hawataki kabisa kuona mtu mwenye mtazamo tofauti na wao wanavyotaka.
HENRY14 Wewe mwenyewe upo humu muda mrefu na unalijua hio, subiri wanazi waone hio comment yake uone jinsi watakavyo ruka nae [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Arsenal wanamtaka Tzolis.

Yaani kichekesho ni kwamba Tzolis kwa Arsenal ni backup.

Anatarajiwa akae benchi kwaajili ya Barcola au Rogers.

Attitude hii kwenye usajili inathibitisha nilichosema kuhusu msimu ujao.
 
Besiktas inamtaka Trossard.

Nottingham inamtaka Vieira.

Arsenal kutokua a selling club inafanya changamoto sana sokoni.
 
emoji106.png
Mbege10 wewe ni shabiki pekee humu wa Arsenal anaejielewa.
Wenzio karibia wote hawapendi kuona mtu anazungumzia mapungufu na madhaifu ya timu yao, hivyo jiandae kisakolojia kabisa kukosolewa, kubezwa, kutukanwa, kuitwa mamluki.
Humu kuna misukule mingi yaani hata uje na facts yenyewe hailewi, hata timu izingue namna gani yenyewe inataka timu isifiwe tu.
Najua unanipamba hahahaha.

Japo kiuhalisia Arsenal last season kilichotubeba ni uwezo wa Jova zaidi kuliko wa Arteta.

Ingawa hilo haliondoi ukweli kuwa bado na hayo mapungufu yetu lakini ndio tulikuwa bora kuliko timu yoyote pale Epl.

Final ya Uefa ndio ilikuja kuonesha uhalisia wa uwezo wa Arteta kwa upande wangu sioni kama tulikuwa na wachezaji dhaifu wasioweza kubattlle na Psg.

Hawa Psg ni mara ya 3 wanatufunga katika mechi muhimu za kuamua.Hii inaonesha ni kwa kiwango gani uwezo wa Arteta ulivyo chini.

Arteta kafungwa na Man city mechi ya final na ya ligi kipuuzi sana.Anapanga kikosi kipuuzi akiwa anakutana na city.

Odegaard katoka majeruhi anaenda kumuweka game na city
 
Bodi ya tumbaku au ya nyama.

Kuwa kiakili sio kila ujumbe ujibu vingine soma halafu unakalia nyama.
You are worried about next season, msimu ambao hata haujaanza. Na huonekani kuappreciate kilichotokea last season.
Yes we grinded out victories na labda ni uchovu wa wachezaji au sababu zako ulizotaja. Tatizo lako unalaumu kana kwamba tupo kwenye bottomless pit we can't crawl out of. Hapo ndipo tulipotofautiana.
 
Umeshndwa kujua lawama na maoni tofauti yake ipo wapi.

Ningekuwa nalaumu hata wachezaji wote ningewalaumu lakini mbona sijamtaja Declan,Malgalles,Raya,Saliba,Calafiori n.k

Mimi nimetaja yale ninayoona ni mapungufu kwa timu yetu.

Na katika jambo ambalo siwezi kukwepesha maneno ni kusema Arteta ana uwezo mdogo sana wa kimbinu.

Next season kama asipobadilika basi kukaa tu nafasi ya pili itambidi apambane kwelikweli.

Arteta angekuwa ni kocha mwenye uwezo mkubwa basi Epl hadi sasa angekuwa nazo hata 2.

Alichukua Sterling kwa mkopo akaacha Rashford aliekuwa hana hata timu ya kwenda.Sijui aliona nini kwa kweli.

Sajili zake kutoka Chelsea sijui analazimishwa au anaamua mwenyewe hapo hata sijui.

Ila Chelsea wanajua kumjaza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom