kuwa na imani na players wako, mechi ya leo hakuna atayekubali aonekane mnyonge kila mchezaji wa arsenal atakayepata nafasi naamini atafanya kazi inavyotakiwa bila kuonesha udhaifu.Don't like the choice of Mosquera, he is a bit dumb
Mkuu Arteta ndie anashinda nao training ground..Amepanga line up ya kijinga
Mwe..huHii picha imepigwa leo usiku