Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Japo mmekosa kombe ila hongereni sana wanangu wote wa Gunners, msimu huuTetea Kiwigi walau ameonesha ameanza kua matured. Sikutegemea kabisa kwa kocha kutoka Spain tena mwanafunzi wa Pep angeweza kuachana na sexy football akahamia kwenye Haram Football pira malengo.
Yote kwa yote pia kukosa kwenu Uefa walau sisi mahasimu wenu tunapata hata cha kuwasimangia, sasa mngebeba na hii tungewasimanga kwa lipi ndugu zetu?
1771782529116.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenyau mmeidhalilisha Epl aiseee, yaani wenzenu wote walioshiriki michuano ya ulaya msimu huu wameleta makombe nyumbani halafu nyinyi mnarudi mikono mitupu hamuoni hata aibu?
Hao wengine wangapi wamecheza na hii PSG?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom