Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mtuacheee tunajipanga kwa sasa... Congratulations Champions 🔥🔥🔥🔥🔥

YNWA
😀 😀 😀 na hapo sijarudi nyuma kwa akina Gakpo na Nunez. Nashindwa kurudi mpaka kwa kina Van Dijk na Mane maana hao mlibeba nao makombe kibao 😀😀😀

Sasa tunawataka akina Kroupi, Alvarez, Rogers na Mika Godts. Mtawanyakua na hao ama?
 
Chelkenge nao walikuwa na hii tabia ya kudandia dandia deal za Arsenal wakaja kuangukia pua kwa Mudryk wakajifunza.Siku hizi huwasikii tena wakisogeza pia kwenye deal za Arsenal
Bado hawajajifunza vizuri hawa. Unamkumbuka Nkunku? Na Jorrel Hato? Na Jamie Gittens? Hawa Chelkenge walitupiga bao kwa wote hao na bado hawakufanikiwa uwanjani kama sisi.
 
Alvarez huyooo Catalan. Kroupi na Rodgers wangekua "rahisi" kutua wangetufaa.
Kwanza tupambane kupata DM na winga wa kulia mengine itategemea na mauzo ya wachezaji na sioni wachezaji pale pound for pound kwa sasa....
Njooni tuwape Isack awe Jesus mpya haya mambo nyie ya kukaa na wagonjwa mshazoea😄😄😄🙏

YNWA
 
Alvarez aende tu Barcelona kwa kweli kama bei yake ni 120m. Ila kwa Isak pia naona labda tunaweza kuokoa mpunga kiasi tukimpata Osimhen badala yake 😁😁😁
 
Alvarez aende tu Barcelona kwa kweli kama bei yake ni 120m. Ila kwa Isak pia naona labda tunaweza kuokoa mpunga kiasi tukimpata Osimhen badala yake 😁😁😁
Alvarez bei yake ni sawa kabisa maana dogo ameperfom wonders Kila alipopita na kuna uhaba sana wa Hawa wachezaji vilaka, huyu ni Gunners made basi tu Barcelona wamewawai...
Osimhen ni jembe haswa ishu bhana EPL walahi inakua 'ngumu' Kila kukicha yaani huamini mwaka wa pili huooo Manchester City wakitoa bila kombe la EPL maanake ni kwamba kikasi hakiwezi kutegemea mchezaji mmoja tu kukivusha salama....
Kila la kheri vs PSG.

YNWA
 


Win the dog naye amepewa kikombe chake. Msimu ujao tutasikia akina Mancheaty, Chelkenge, Livakuku na Manyumbu nao wameanza kuwa na vijibwa vyao.
 
Kuna mpuuzi mmoja alikua anazurura humu kusema Arsenal hatujui kushangilia.

Ghana, Kenya, Uganda, Nigeria, London, SA wamepiga party za kutosha

Na bongo kuna party inaenda kupigwa pale viwanja vya kijitonyama. Kiingilio bure na supu ya mbuzi bure.

Online kuna ngoma za kuelezea huu ubingwa.

Nitajieni timu ambayo mashabiki wake wamefanya nusu ya kinachofanywa na mashabiki wa Arsenal.
 
Hatimae siku hazigandi🤣🤣🤣

kesho tunaenda kushuhudia aibu ya dunia

mnakumbuka inter millan final ya mwaka Jana alikuwa na ukuta usiofungika

ila wale wahuni wa psg waliifungua wakampa psg kono la nyani🤣🤣🤣🤣

kwa hii beki la saliba tujiandae kwa aibu ya Karne kuopata London



arsenal 0-7 psg 🤗
 
Amka ndontoni.
 
Martinelli bado ana kitu miguuni mwake abaki kwa msimu mmoja au miwili
 
Unateseka ukiwa wapi jamaa 😂
 
Unateseka ukiwa wapi jamaa 😂
 
PSG hii iliyokandwa na Sporting Lisbon msimu huu?
 
Asee..
Muda ni hakimu mzuri
 
Asee..
 
Dah
Technologia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…