MUNGU atusaidie.Hizi mechi Arsenal tunashinda
Nilikuwa na hofu na mechi ya West Ham
Kwakuwa ni timu ya London,
Hizi timu za London zinatula mechi ngumu sana
Maana mara yangu ya mwisho kupata hyo furaha ni 2004 nilikuwa mdogo.
MUNGU atusaidie.Hizi mechi Arsenal tunashinda
Nilikuwa na hofu na mechi ya West Ham
Kwakuwa ni timu ya London,
Hizi timu za London zinatula mechi ngumu sana
Palace watakushangaza leo.Leo tena nitakua nacheki hii mechi ya city na Palace sitarajii city kuanguka kwakua palace hakuna atachogain hata akikaza. Mostly ni kwakua atagain akishinda fainali kuliko akimzuia City leo.
So chochote kitachotokea mi nitakua live
Oya hii timu leo itapanga kikosi kama alichopangiwa Spurs watu wakalalamikaHii game ya leo ndio game pekee ya palace anayopaswa kucheza bila presha.
Kifupi ndio anayomalizia msimu leo.
City kinachombeba ni home ground ila mechi sio ya polepole kwake.
We jamaa bado umekaza tu fuvu mbona wenzio wameshakubali.Hii ni kwa afya yako zaidi jirani, "punguza matumaini." Usije ukasema hatukukwambia.
Kaka palace leo atakushangaza.Oya hii timu leo itapanga kikosi kama alichopangiwa Spurs watu wakalalamika
Kaka palace leo atakushangaza.
City ajipange kisawasawa.
Najua hata Guadiola anajua hilo.
Ulitoa avatar ya wenger mkuu 😃nashangaa mgeni gani huyuPalace wamepigwa chuma cha tatu