Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

20260511_123539.jpg


Zenge moja hili hapa.
 
Chuki mbaya kubababake.

Kuna makundi mawili.

Kundi moja linasema Raya kushikwa mikono siyo faulo.

Kuna kundi linasema ni faulo ila mbona Arsenal na wenyewe hua wanachezea faulo kipa?

Unabaka kushangaa haya mazenge yanawaza nini?
 
Mbuzi mbuzi wote waliodai wanafungwa ili Arsenal asipate ubingwa nipo hapa kuwachawia.

Sasa hivi nipo na Spurs na game yao na Leeds
 
Shindeni FA cup tuje tukutane community shield tuwapakate Tena....kuminya mbupu mshafanya msimu mzima haijasaidia....sasahivi tafuteni Kocha wa kueleweka ili msimu ujao walau mkikutana na sisi mtupe upinzani kidogo.....tumechoka kuwafunga Kila siku majirani
Acha maneno mengi, pa1 na kubebwa bado msimu huu mnatoka patupu. Labda huyo refa wenu wampe mechi zote zilizobaki achezeshe.
20260511_201654.jpg
 
Moja moja. Beki wa Spurs karuka tiktaka kwenye boksi mguu ukatua usoni kwa Ampadu
 
Kenge Spurs zimesuluhu. Mechi mbili za mwisho wamebakisha ni dhidi ya Cheltako na Everton.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom