Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,233
- 76,755
Sina uelewa ni kivipi watu walihisi Palace ataisimamisha City.
Now dhidi ya Villa ni mechi yao ya mwisho ya msimu na Villa hana haja ya ushindi kwa City. Unless fainali yake Europa iote mbawa na kwenye ligi walio chini yake wawe serious.
Walio chini yake ni Bournemouth na Brighton, hatumhesabu Brighton kwakua hachezi na City. Nafikiri watu wengi walijudge kutokana na jina la timu hawakuzingatia factors zingine za msingi.