Huyu Palace anaenda kutamatisha matumaini ya city.Au sio, 2 games remaining Burnley na palace.
Ila Kwa city wana mtelezo, palace, Bournemouth, villa arghhh shubamiti.
Matyako yako nguruwe pori 😂
City achague apambanie Epl au FA.
Huyu Palace anaenda kutamatisha matumaini ya city.Au sio, 2 games remaining Burnley na palace.
Ila Kwa city wana mtelezo, palace, Bournemouth, villa arghhh shubamiti.
Matyako yako nguruwe pori 😂
Kipa la AI.Biggest save qmmk
View attachment 3586806
Aston Villa nao ni wagumu aiseeHuyu Palace anaenda kutamatisha matumaini ya city.
City achague apambanie Epl au FA.
Yaaap ila naisemea ya Palace kwasababu ndio game pekee Palace anatakiwa kucheza bila presha.Aston Villa nao ni wagumu aisee
City ana game ngumu
Hiyo ya palace anashinda
Na tunachukua ubingwa2006 fainali na Barcelona, mkatapeliwa ubingwa mkiwa wa moto.
2026, miaka 20 baadaye ndiyo mmeingia fainali na ninawatakia ubingwa.
2 matches to go3 matches to GO.
Hizi mechi Arsenal tunashindaYaaap ila naisemea ya Palace kwasababu ndio game pekee Palace anatakiwa kucheza bila presha.
Game na Arsenal Palace atapaswa kupumzisha players wake muhimu ili apambanie kombe.
Akileta ujuaji basi kitamlamba kwenye mechi 1.
+ UEFA bruh.2 matches to go
Dah 🤔3 matches to GO.
3 matches, 2 trophies 🏆Dah 🤔
Naam ashukuriwe kwa hiloHuyu asingeweka hili konga ile ya Todibo kuvuta ingeweza kufunikwa
Noma sanaKipa la AI.
2 matches.3 matches to GO.
Naambiwa Paul Kagame anazidi kufutuka sababu ya matokeo bora ya Arsenal.Arsenal wanajaribu kunitofautishia kati ya raha na furaha .. yan kuishabikia arsenal ni furaha kweli.
Mpaka nimeanza kunenepa.
C’mon. PSG too. 2 EPL 1 UCL2 matches.