Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kama isemavyo signature yako, "Nothing lasts Forever" mkuu.
Ni kweli mkuu ila upepo hauonekani kuwa uapnde wao.
Ingawa huwa nikilisema hili Castr ananipinga kwa nguvu tena na ushaidi kabisa, hata kama mtabeba ndoo zote 2 msimu huu arsenal ya msimu juzi ndio ilikuwa arsenal bora zaidi chini ya arteta.
 
Sijajua kwanini haunielewi.

Nitaandika mara ya mwisho kisha nitafafanua. Mashabiki wa timu zingine mmekua mkisema Arsenal ni mbovu kuanzia 22/23, 23/24, 24/25 na hata 25/26 mmeiita Arsenal ni mbovu.

Kwenye hiyo misimu kuna misimu Arsenal kacheza positional (siyo possession) football, the best football tactic there is. Na bado mkasema mbovu.

Haiwezekani huku mwishoni mdai eti Arsenal ya sasa ni mbovu tofauti na games 18 zilizopita. Ama ni mbovu kulinganisha na misimu iliyopita.

Huu ni unafiki. Msimu ujao au ujao baada ya huu mtaiita tena Arsenal ni mbovu.

To my best knowledge nyinyi hakuna kizuri kinachotokana na Arsenal. Best mnachoweza sema ni kashfa best mnachoweza fanya ni kunyong'onyesha kinachoihusu Arsenal. Dalili za Arsenal kua bingwa zilipoonekana mkadai ligi ni dhaifu, City alivyoonyesha dalili za kupambania kombe mkadai ligi ni bora na shindani.

Nitakua mjinga nikikaa kuwaamini sasa hivi.
 
Raya ameipatia Arsenal si chini ya point 10 msimu huu zikiwemo point 3 muhimu dhidi ya Westham.
Nashangaa sana watu wanamuongelea Big Gaby kuwa mchezaji bora wa ligi endapo arsenal itanyakua kikombe, ila Raya anastahili kwa namna zote kuliko Gaby.
Ni sahihi.. mchezaji wa kwanza bora kwa arsenal ni david raya kisha wengine watafatia
 
Sijajua kwanini haunielewi.

Nitaandika mara ya mwisho kisha nitafafanua. Mashabiki wa timu zingine mmekua mkisema Arsenal ni mbovu kuanzia 22/23, 23/24, 24/25 na hata 25/26 mmeiita Arsenal ni mbovu.

Kwenye hiyo misimu kuna misimu Arsenal kacheza positional (siyo possession) football, the best football tactic there is. Na bado mkasema mbovu.

Haiwezekani huku mwishoni mdai eti Arsenal ya sasa ni mbovu tofauti na games 18 zilizopita. Ama ni mbovu kulinganisha na misimu iliyopita.

Huu ni unafiki. Msimu ujao au ujao baada ya huu mtaiita tena Arsenal ni mbovu.

To my best knowledge nyinyi hakuna kizuri kinachotokana na Arsenal. Best mnachoweza sema ni kashfa best mnachoweza fanya ni kunyong'onyesha kinachoihusu Arsenal. Dalili za Arsenal kua bingwa zilipoonekana mkadai ligi ni dhaifu, City alivyoonyesha dalili za kupambania kombe mkadai ligi ni bora na shindani.

Nitakua mjinga nikikaa kuwaamini sasa hivi.

Yaani tangu arsenal ionyeshe dalii za kuwa bingwa, hakuna nadharia yoyote utaikubali kuhusu mapungufu ya arsenal msimu huu kisa tu una back up hoja zako na makombe mnayoenda kubeba.
 
Yaani tangu arsenal ionyeshe dalii za kuwa bingwa, hakuna nadharia yoyote utaikubali kuhusu mapungufu ya arsenal msimu huu kisa tu una back up hoja zako na makombe mnayoenda kubeba.
Wanaenda kubeba kombe gani hawa vilaza? mpk sasa wako pale kwa uduanzi wa yule refa. Amini nakwambia hawabebi chochote hawa mazwazwa.
 
View attachment 3511140

Full name: Arsenal Football Club

Nickname(s): The Gunners

Founded: 1 December 1886

League: Premier League

Website: arsenal.com

View attachment 3511136

Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch 105m x 68m

View attachment 3511137
Co-Chair : Stan Kroenke
View attachment 3511139
Co-Chair: Josh Kroenke
View attachment 3511143
Arsenal Manager: Mikel Arteta​

Arsenal Trophies:
League Tittles: 13

First Division/Premier League Champions: 13 (1930/31, 1932/33, 1933/34, 1934/35, 1937/38, 1947/48, 1952/53, 1970/71, 1988/89, 1990/91, 1997/98, 2001/02, 2003/04)

European Trophies: 1
UEFA Cup Winners': 1 (1993/94)

FA Cup Trophies: 14 (1929/30, 1935/36, 1949/50, 1970/71, 1978/79, 1992/93, 1997/98, 2001/02, 2002/03, 2004/05, 2013/14, 2014/15, 2016/17, 2019/20)

League Cup: 2 (1986/87, 1992/93)

Community Shield: 16
FA Charity Cup/FA Community Shield: 15 (1930, 1931, 1933, 1934, 1938, 1948, 1953, 1991, 1998, 1999, 2002, 2004, 2014, 2015, 2017, 2023)

Other Trophies
League Centenary Trophy: 1 (1988)
Inter-Cities Fairs Cup: 1 (1969/70)

View attachment 1542905
Arsenal Football Club celebrate as they Crowned The Emirate FA Cup Winners (2020)

View attachment 3511146

Fixture list​

AUGUST
Sun 17 Manchester United (A)
Sat 23 Leeds United (H)
Sat 30 Liverpool (A)

SEPTEMBER
Sat 13 Nottingham Forest (H)
Sat 20 Manchester City (H)
Sat 27 Newcastle United (A)

OCTOBER
Sat 4 West Ham United (H)
Sat 18 Fulham (A)
Sat 25 Crystal Palace (H)

NOVEMBER
Sat 1 Burnley (A)
Sat 8 Sunderland (A)
Sat 22 Tottenham Hotspur (H)
Sat 29 Chelsea (A)

DECEMBER
Wed 3 Brentford (H)
Sat 6 Aston Villa (A)
Sat 13 Wolverhampton Wanderers (H)
Sat 20 Everton (A)
Sat 27 Brighton & Hove Albion (H)
Tue 30 Aston Villa (H)

JANUARY
Sat 3 Bournemouth (A)
Wed 7 Liverpool (H)
Sat 17 Nottingham Forest (A)
Sat 24 Manchester United (H)
Sat 31 Leeds United (A)

FEBRUARY
Feb 7 Sunderland (H)
Wed 11 Brentford (A)
Sat 21 Tottenham Hotspur (A)
Sat 28 Chelsea (H)

MARCH
Wed 4 Brighton & Hove Albion (A)
Sat 14 Everton (H)
Sat 21 Wolverhampton Wanderers (A)

APRIL
Sat 11 Bournemouth (H)
Sat 18 Manchester City (A)
Sat 25 Newcastle United (H)

MAY
Sat 2 Fulham (H)
Sat 9 West Ham United (A)
Sun 17 Burnley (H)
Sun 24 Crystal Palace (A)

Arsenal transfers 2025/26

Martin Zubimendi
🔄Real Sociedad, £51m.
Christian Norgaard 🔄Brentford, £15m.
Cristhian Mosquera 🔄Valencia, £13m.
Viktor Gyokeres 🔄Sporting, £63.5m.
Eberechi Eze 🔄Crystal Palace, £67.5m.
Takehiro Tomiyasu ⤵️released.
Jacob Ramsey 🔄Newcastle, £43m.
Adrien Truffert 🔄Rennes, £14.4m.

Follow this thread for team updates!
Uzi una miaka 26 na hakuna kombe.
 
Acha maneno mengi, pa1 na kubebwa bado msimu huu mnatoka patupu. Labda huyo refa wenu wampe mechi zote zilizobaki achezeshe.
View attachment 3587280
Tarehe 31 utakuwa idara ya kugawa vinywaji pale mapokezi kwny sherehe yetu ya kubeba ndoo mbili....usijali mtani utakula ubwabwa na tutakupa mbinu namna Gani na ww unaweza kuchukua ndoo mwakani ukiweza kukaza miguu
 
Katika siku crystal palace atapitia kipindi kigumu basi ni siku ya kesho
 
Tarehe 31 utakuwa idara ya kugawa vinywaji pale mapokezi kwny sherehe yetu ya kubeba ndoo mbili....usijali mtani utakula ubwabwa na tutakupa mbinu namna Gani na ww unaweza kuchukua ndoo mwakani ukiweza kukaza miguu
Hii ni kwa afya yako zaidi jirani, "punguza matumaini." Usije ukasema hatukukwambia.
 
Leo tena nitakua nacheki hii mechi ya city na Palace sitarajii city kuanguka kwakua palace hakuna atachogain hata akikaza. Mostly ni kwakua atagain akishinda fainali kuliko akimzuia City leo.

So chochote kitachotokea mi nitakua live
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom