Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ilichofanya Newcastle ni kile alifanya yule mfanyabiashara wa mahindi Songea.

Leo hii Newcastle imerudi default settings. Ile timu inabidi ibadilishe kocha, akili ya Howe pale ndiyo mwisho. Hana cha zaidi tena.

Kuangalia kitu na kukielewa ni vitu viwili tofauti, hakuna namna unaiangalia Newcastle na best unachoweza deduce ni kwamba hii ni timu bora inacheza vizuri.

NI ngumu kuelewa akili za mtu mwingine.
 
Kuanzia tarehe 13 City atakua na games kila baada ya siku mbili. Usually hua ikifika miezi hii anakua anaongoza ligi with wide gaps so it doesn't really matter.

This time around City ana game na Palace, ana fainali na Chelsea (I hope Chelsea afungwe kwakua mashabiki wake ni wapuuzi) kisha siku mbili mbele ana Bournemouth wanaohitaji kwenda CL.

20260511_073636.jpg
 
Kuanzia tarehe 13 City atakua na games kila baada ya siku mbili. Usually hua ikifika miezi hii anakua anaongoza ligi with wide gaps so it doesn't really matter.

This time around City ana game na Palace, ana fainali na Chelsea (I hope Chelsea afungwe kwakua mashabiki wake ni wapuuzi) kisha siku mbili mbele ana Bournemouth wanaohitaji kwenda CL.

View attachment 3586918
Game na palace kwa city imekaa kimtego sana. Alafu huyo palace anatabia ya kumsumbua city
Bado Namuombea city ashinde, NDOO tuchukue game ya mwisho

#arsenalNDOO
 
Watu tunataka ubingwa, iwe unashuka daraja au unapanda hilo halituhusu points 3 utazitapika tu
Odegard alivyoingia ameonesha impact kuliko akianzaga
Arteta angeendelea na Eze kwa jinsi westham walivyoingia vile ata tungecheza dakika 300 tusingetoboa. Tuheshimu taaruma za watu
 
Karibuni jukwaa la chelkenge tuwape mafunzo ya kumfunga PSG, mafunzo yataanza J5 hii mpaka trh 28 na masomo kwa muda wote huo ni bure.

Karibuni.
 
In football, moments are meant to enjoyed, don't wait for the title
Kusema kweli siwaombei mabaya yawakute ila nataka kuwakumbusha rekodi ya msimu wa 2002/2003 ambapo arsenal alikuwa anaongoza ligi kwa tofauti ya point 15 zikiwa zimesalia mechi 8 msimu kutamatika. Mechi ya 37 akalazimishwa droo na Bolton ya akina Okocha halafu akaja kuuwawa na Leeds na akakosa ubingwa.
 
Endapo Arsenal atafanikiwa kutwaa ubingwa, game ya Budapest itakuwa nzuri sana kutazama. Tegemea kuangalia like soka Arsenal alikuwa akicheza mwanzoni mwa msimu akiwa hana pressure yeyote.
Mkuu arsenal hii haionyeshi dalili ya kurudi kwenye peak ya msimu jana na juzi, tena wenge la fainal ndio litawatoa mchezoni kabisa maana sio kawaida yao kabisa.
 
Jamaa inasemekana ni pandikizi la Sky Sport, kama yule jamaa wa chupa ya maji (City vs Arsenal).

Screenshot_20260511_192111_X.jpg


Sky walikuwa wanasubiri draw au L to Arsenal ili waishi nayo wiki mzima hiii (relevance and interaction mitandaoni)
 
Back
Top Bottom