Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Biggest save qmmk
FB_IMG_17784339020673548.jpg
 
Mimi ni man UTD ila naiombea sana Arsenal washindee ubingwa ...sababu za kibinafsi...natamani Kuna mtu flan angekuepo hai kushuhdia hili hajawah kuiona arsenal ikishinda epl Hadi ANAFARIKI wakishinda ntaenda kuweka jezi KWNWYE kaburi lake ..Allah awezeshe
 
Kwa msimamo ulipo sasa mtu wa 13 anaweza pia kushuka daraja lakini ili iwe hivyo inabidi mtu wa 18 ashinde mechi zake tatu alizobakisha.

Timu ya nafasi ya 18, Westham, imebakisha mechi dhidi ya Arsenal, Newcastle na Leeds. Timu ya 13 ikishinda games zake zilizobaki anaweza kwenda Europa.

Nimekuta baadhi ya mashabiki wa Arsenal wanasema dhid ya Westham itakua easy pia game dhidi ya Burnley itakua easy kwavile Burnley ameshashuka daraja.

Nimekuonyesha kwanini game dhidi ya Westham haitakua nyepesi halafu nakukumbusha kwamba West Bromwich walimpiga Chelsea 5 huku West Bromwich ikiwa imejihakikishia kushuka daraja.

Kama unamkumbuka Maitland Niles alikua kwa mkopo WestBrom wakati wanawanyoosha tano. Notice kwamba hiyo timu itacheza kwa kurelax kuzidi wewe, inaweza kuamua kwamba inapaki basi tu wala hawana haja ya kuvuka hata dimba na hauna unachoweza kuwafanya.

Westham hawatokua relaxed ila wanapambanis uhai, sielewi ni kivipi hii mechi watu wanaona itakua nyepesi.

Kwa sasa kwetu kila game ni final. Hua tunashinda magoli matano games za mwisho wa mwaka halafu hua naandika "Haina haja kwa tulipofikia kuscore magoli mengi" maajabu yake msimu huu yale magoli mengi hatufungi tena.

Arsenal to death
Haya sasa. Tuendelee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom