secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,030
- 42,736
Tunashinda.Tulia mkazwe 😂
Tunashinda.Tulia mkazwe 😂
Nacheka kwa dharau HAHAHA!Goooooooooooooal Westham 🔥
Ok kula chuma hichoSawa mkuu... na iwe hivo...wacha tusubiri! Nipo nawaangalia hapa, Ben nje...kwa hiyo kule kulia mashambulizi yanapungua
Mkuu bado mnakazi ngumu sana.Kubababake hii ndiyo Harmonize alisema ridhiki papatu papatu.
Haya haters kazi kwenu
Au sio, 2 games remaining Burnley na palace.Mkuu bado mnakazi ngumu sana.
Pressure kwenu ni kubwa sanaa.