Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mathematically Burnley na Wolverhampton wameshaenda na maji .....Bado mmoja ambaye ni spurs ama West Ham... spurs ana point 37, West Ham 36.... wote wana chance ya kupigania hadi pumzi ya mwisho....

Kwa EPL walau ili uwe safe kwenye relegation zone upambane uokote walau point 40+.... wote hawa wawili wanapambania hilo ....
Sitoshangaa Leo mkaliwa ama mka_draw... mechi ni ngumu sana, majamaa yanataka kubaki EPL na nyie mnataka ubingwa baada ya miaka karibia 30 !

Lolote liwakute
Arsenal win, kula chuma hicho
 
Leo wagonga nyundo naona hawana muda wa kutafuta goal wao wameamua kujilinda mpaka mwisho. Center Back 7 in a starting 11 inamaanisha game ni ngumu kwelikweli kuifungua.
 
Hamuonyeshi dalili ya kuigungua backline ya Hammers, mnarukaruka tu kama kuku aliyekatwa shingo. Hamjui kuwa tumewekeza pesa zetu kwenu
 
Wakati mnapanga kumpiga chuma 3 westham, kumbuka Nuno ESPIRINTO ndiye kocha waa mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom