kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,817
- 20,801
Matyako yako
Psg anakufa kwa arsenal, bayan wameniangusha sana, arsenal hii wanaibeba kilaini sana
PSG anachukua tenaPsg anakufa kwa arsenal, bayan wameniangusha sana, arsenal hii wanaibeba kilaini sana
Mhm sio rahisi, ingekua United na City hapo sawa ila psg anapasuka kwa arsenalPSG anachukua tena
We will see πMhm sio rahisi, ingekua United na City hapo sawa ila psg anapasuka kwa arsenal
Hizi nyuzi nazipita kama naaga maiti , timu za ligi ya mchekea kama ufaransa , tena kwenye fainali hata ingekua Chelsea hii ya kuunga unga anajipia tuWe will see π
Just admit it, you are scared. Mnaogopa hamtakuwa na kitu kingine cha kuikejeli Arsenal baada ya huu msimu.Nilisema hapa na imetokea.... ngoja fainali mkashangazwe huko.... mfundishwe unachezwaje
Mkuu ili uchukue ubingwa si lazima wengine wawe dhaifu na wewe uwe na Bora?Na tukichukua ubingwa ni kwa uzembe wa city, sio ubora wetu..
Paul scholes alitoa kauli akaonekana ana dharau ila huo ndio ukweli arsenal sio timu bora kiviiile, tuna matatizo, tunasubiri udhaifu wa mpinzani tuchukue kombe na sio ubora wetu..
Yote kwa yote historia humkumbuka mshindi tu, ikitokea tumenyenyua ndoo historia itasema ni arsenal hakuna cha ubovu wala nini.. man u kuna misimu alichukua kombe akiwa hovyo na kwa wizi end of a day haukumbukwi wizi wake.
Unajisikiaje na Hali huko ulipoEmirates ndo penyewe pale mnakufa mkiwa wengi as usual, hakuna cha kupanda ndege Wala Nini mnabaki mmelalia majani pale na vibibi vile vya arsenal machozi kama yote.
Chollo anaenda kumaliza kazi kama Bournemouth , soton au man UTD vile.
Emirates pale ni jumba la masikitiko na vilio tu , nasema uongo false hopers wenzangu?π
Vip huko maalimu kwemaTuliwaambia nyinyi kenge ubingwa hauchukuliwi kwa set pieces kama mbinu kuu, hio ilitakiwa iwe mbinu ya mwisho kabisa yakumalizia ligi mkakaza fuvu.
Saivi watu wamegoma kipa kuzongwazongwa kufunga imekua mtihani.
Kwa open play game anazopiga Fulham kesho nae itakuwa masikitiko mengine na matusi kwa tapeli arteta kama kawaida yenu.
Makaveli anakuambia zamani atleast ilikuwa hatupati makombe ila mpira tunapiga pasi kibao lakini saivi ni wanakosa vyote .
Siongei kishabiki, ukitizama vizuri utagundua tu sisi hatuko bora, huyu man city anaetufukuza angekuwa bora kidogo tu angetukamata, imefika hatua tunaombea apoteze ili tuwe na uhakika..Mkuu ili uchukue ubingwa si lazima wengine wawe dhaifu na wewe uwe na Bora?
City akichukua ubingwa, ana timu Bora. Arsenal akichukua ubingwa, City ana timu dhaifu.
Hii imekaaje kitaalamu?
Bado kidogo, arsenal siiamini mpaka tushinde kombe, arteta haeleweki huyu nyamaHatimaye project ya miaka 7 imelipa, hongereni gunners