Kawaida iyo hata psg ya neymar haikufungwa mpaka fainali lakini bayern akajiokotea kimoja tuUtanyanyua kwapa wewe mkuu, wenzako wapo fainali bila kufungaa toka michuano ianze.
Mbaga Jr, kausha bana.Golden cup Ipi ww bange
Rival fan base hawaamini kabisa wanachoshuhudiaArsenal tulifungwa na City tukawa points sawa.
Declan Rice akasema "It's not done"
Arteta akasema "We have to fight til the end"
Pundits wakasema Arsenal tunajipa moyo hili swala la kombe la EPL limeishia pale kwakua City hashikiki akifika February.
Everton akasuluhu na City.
Haaland, Silva, page ya City ya X wakasema "We will fight to the end"
Pep akasema "After this game it's Arsenal's to lose"
Pundits wakasema hii sasa ndiyo mentality ya mabingwa.
Kubababake π π π
Utaumia kichwa ukiwa hujui kitu kuhusu nini kinaendelea. Kinachoendelea ni kwamba hakuna anayetaka Arsenal achukue ubingwa.
Pep amesema hivyo siyo kwavile amekata tamaa, anahamisha zigo la responsibility kwa Arsenal ili asiangaliwe yeye. Watu waanze kuiassess Arsenal.
A month back, Semenyo alikua kwenye podcast akijieleza jinsi alivyowaomba wenzake wa Bournemouth waizuie Arsenal. Zikatembea interview Doku akieleza ni kwanini waliazimia kuchukua Carabao ili kuiumiza akili Arsenal.
Leo hawa watu wamekuja na wimbo wa "Fight to the end" na pundits wanasema mentality ya mabingwa ipo hivi.
Ikiwa hivi wanangu tuandae kasherehe, tuombe tupate,Kwa kila game iliyobaki probability ya arsenal kushinda ni 90% (0.9β1)
in mathematics context we call SURE EVENT
Kuna uwezekano mkubwa tukatangazwa ubingwa game na burnley illa itapendeza zaidi katika game ya mwisho na crystal palace. So nipo kumuombea city game zake zilizobaki ashinde
View attachment 3583978
Na tukichukua ubingwa ni kwa uzembe wa city, sio ubora wetu..Hili kombe kawashindia Everton sio Arteta. Game yenu na city hamkuwa na maarifa yoyote ya kuifungua defence ya city ila mnavyomtukana Ndiaye utadhani ninyi mlifanya la maana dhidi yake.
Anyway, naishi Mwanza hivyo msinisahau kwenye sherehe za ubingwa.
Coyg
Mechi ya Kule Metropolitano ilishatoa jibu nani anaenda final....jana ilikuwa kukamilisha ratiba...tumebakisha final mbili....j2 dhidi ya west ham na kule Budapest....hawa vibaka wanaokuja hmu ndani waombe tubebe ligi kuu tu basi ila tukibeba na UEFAπ€ π€ π€ ....watafute pa kujifichiaMliocheki game jana, tuliupiga mwingi ama ni matatizo ya moyo tu?
OoOo4Rival fan base hawaamini kabisa wanachoshuhudia
Kipindi cha Kwanza Atletico walipigwa msako wa nyani ikabidi weweke ukuta wa YerikoMliocheki game jana, tuliupiga mwingi ama ni matatizo ya moyo tu?
broo unamaumivu sanaCIty alishawatia gundu ile fainali jiandaeni tu kuvaa medali na sio kunyanyua kwapA
City hachukui kombeArsenal tulifungwa na City tukawa points sawa.
Declan Rice akasema "It's not done"
Arteta akasema "We have to fight til the end"
Pundits wakasema Arsenal tunajipa moyo hili swala la kombe la EPL limeishia pale kwakua City hashikiki akifika February.
Everton akasuluhu na City.
Haaland, Silva, page ya City ya X wakasema "We will fight to the end"
Pep akasema "After this game it's Arsenal's to lose"
Pundits wakasema hii sasa ndiyo mentality ya mabingwa.
Kubababake π π π
Utaumia kichwa ukiwa hujui kitu kuhusu nini kinaendelea. Kinachoendelea ni kwamba hakuna anayetaka Arsenal achukue ubingwa.
Pep amesema hivyo siyo kwavile amekata tamaa, anahamisha zigo la responsibility kwa Arsenal ili asiangaliwe yeye. Watu waanze kuiassess Arsenal.
A month back, Semenyo alikua kwenye podcast akijieleza jinsi alivyowaomba wenzake wa Bournemouth waizuie Arsenal. Zikatembea interview Doku akieleza ni kwanini waliazimia kuchukua Carabao ili kuiumiza akili Arsenal.
Leo hawa watu wamekuja na wimbo wa "Fight to the end" na pundits wanasema mentality ya mabingwa ipo hivi.
Hivi unajua mwaka jana PSG katutoa kwa sababu ya ubora wa donaruma na sio walituzid mpiraSimieone mhuni tu yule...hana tena zile profile zinazompambania...the likes of akina miranda, godin, Diego Costa n.k ! Alimuotea barca kipindi ambacho ana majeruhi ya key players ... ! Arsenal fainali anaenda kufundishwa mpira ... ebu angalia mfano mid ya neves, vitinha, ruiz... alafu njoo kwa wanetu wana skelly na rice, Odegaard!