Na wewe utahama permanent kama mwenzako au wewe unakodishwa baada ya kipigo unarudishwa ulipotoka?Friends of Madrid tupo hapa mapema sana ๐
Kuna watu wananisumbua kuhusu masuala ya Chelshit, muwaambie mimi niko mkopo Man city hadi mwishgo wa msimu, tutaonana preseason na wasipofanya usajili mzuri wa kocha na wachezaji mimi nitafanya mkopo wangu wa Man City kuwa Parmanent loan. SITANII! ๐
Mashabiki wa Arsenal sijui sisi ni we hu?! Hatueleweki.Twende polepole hapa.
Newcastle imetoa 55M kwaajili ya Wissa. Mpaka leo Wissa ana magoli 2 mashindano yote.
Newcastle pia ikatoa 70M kwaajili ya Woltermade. Mpaka leo Woltermade ana magoli 8 mashindano yote.
United imetoa 71M kwaajili ya Mbeumo. Mpaka sasa Mbeumo ana magoli 9.
United pia ikatoa 74M kwaajili ya Sesko. Mpaka sasa Sesko ana magoli 11.
Liverpool ikatoa 79M kwaajili ya Hugo. Mpaka sasa Hugo ana magoli 17.
Liverpool pia ikatoa 130M kwaajili ya Isak. Mpaka sasa Isak ana magoli 3.
Arsenal imelipa 65M kwaajili ya Gyokeres. Mpaka sasa Gyokeres ana magoli 21.
Kwanini shabiki wa Arsenal haoni kwamba ana ST mzuri hii sina sababu. Gyokeres angekua na magoli 3 au 9 nyimbo zingekua nyingi, Gyokeres ana magoli mengi zaidi ila mashabiki wa Arsenal hawaongelei hili swala.
Bado wanaamini Gyokeres ni mbovu.
Upo mkoa gani nikuunganishe na watakaoalikwa kula pilau kwa mkorea[emoji23][emoji23] Hivi wanetu mko serious kweli au ndio ile nguvu ya energy drink anayoizungumzia Castro Oil?
Tutaweka wapi sura zetu sisi,
Eeehhh Mungu muweza wa yote ikiwezekana kikombe hiki kituepuke, walakini si kama tutakavyo sisi, bali kama utakavyo wewe. View attachment 3583829
Mm n city tangu kitambo ๐Na wewe utahama permanent kama mwenzako au wewe unakodishwa baada ya kipigo unarudishwa ulipotoka?
Umekuja show ipo kati ila ungekuepo baada ya game na Fulham ungekuta nipo all over.Mkuu naona leo una energy ya kutosha.
Sawa lakin bado hatujatupa taulo leo tutaingia kwa kuchungulia.
Na mna bahati world cup ipo mbeleni hapo itapunguza sherehe๐ค ๐ค ๐ค ...ila tukinyanyua kwapa kuwasimanga kuko pale pale....na yule beki wetu Heavens mlomchukua tunamtaka....hamuwezi kuiba vijana wetu kienyejienyeji hivi[emoji23][emoji23] Hivi wanetu mko serious kweli au ndio ile nguvu ya energy drink anayoizungumzia Castro Oil?
Tutaweka wapi sura zetu sisi,
Eeehhh Mungu muweza wa yote ikiwezekana kikombe hiki kituepuke, walakini si kama tutakavyo sisi, bali kama utakavyo wewe. View attachment 3583829
Madueke ni bora mara 1000 kuliko hicho kitotoKuna siku ilikua big match nilisema bora acheze downman kuliko madueke
Game na city madueke ata kutuliza mpira alikua anatetemeka
Games zilizobak sub ya saka bora aingie downman kuliko huyo mpuuzi aya ya kwanza
Kikosi ndiyo hichi wakibadilika ni wawili tu hapo.Natamani Kikosi cha Leo kiwe;
Raya
White. Saliba Gabi. Calafior
Rice. Zubi
Saka. Eze. Martinel
Gykores
Full time Arsenal 2 Madrid 1
False hopers Huwa mna mikwara na tambo nyingi sana .Kwa kila game iliyobaki probability ya arsenal kushinda ni 90% (0.9โ1)
in mathematics context we call SURE EVENT
Kuna uwezekano mkubwa tukatangazwa ubingwa game na burnley illa itapendeza zaidi katika game ya mwisho na crystal palace. So nipo kumuombea city game zake zilizobaki ashinde
View attachment 3583978