Mtaachana
JF-Expert Member
- Mar 27, 2025
- 1,638
- 5,691
UhakikaOya Hawa inatakiwa wafe hata goli 10, man city game zilizobaki hana uwezo wa kushinda goli nyinginyingi
UhakikaOya Hawa inatakiwa wafe hata goli 10, man city game zilizobaki hana uwezo wa kushinda goli nyinginyingi
Tuwapige kama week hiviHapa bado goli tatu
Kabisa mkuuHivi viazi vinabet kuipa Arsenal ila vikifika hapa vinaandika utumbo
Precaution, labda game ya midweek.Kocha anaamini goli zinatosha anamtoa Saka
Tupe maoni yako mkuu baada ya mtanange kuisha🤠🤠....tunaanua mkeka tunaenda nao j4 mapema kabisa....tunakwenda fainali...na tutaomba sana PSG wapite ili tukutane nao watuelezee mwaka jana walitutoatoa vipi🤠🤠Fulham ni timu yangu ya utotoni kabisa,
Mungu tunaomba sare tu leo wala hatuombi makubwa.
Binafsi nashangazwa na Arteta kutompa nafasi Noorgard mchezaji ambae ni premier league material na ameprove kwenye ligi kama captain wa Brentford na kuendelea kumkumbatia Zubimendi ambae amekuwa na awful performance currently.Kawekwa Skelly pale CM. Game kadhaa nyuma Rice alicheza kama DM exclusively, lakini Zubimendi akawa haendi mbele, nafikiri hii trial ya Skelly kua pale ni kumpa nafasi ya zile explosive dribbles.
Bale alikua ana hizi dribbles akiwa LB. Kocha akaona amsogeze mbele, ikatick kwa Bale. Imetiki kwa Saka, sasa Skelly anapitishwa same route.
Idea ikitiki leo ni sawa isipotiki we are in for troubles na ninaamini Norgaard anastahili kusimama pale dimbani pia.
Let's see hii set up mpya itasaidia nini
Jibu LA hii comment yako wanayo Liverpool, walikimbizwa na point moja zaidi ya game 10, hawakufua dafuOya Hawa inatakiwa wafe hata goli 10, man city game zilizobaki hana uwezo wa kushinda goli nyinginyingi
Arsenal n title contender epl Na ucl?Sema timu yako ipo michuano gani, maana wenzako ni title contender EPL na UCL!
Skelly bado hajajua muda gani wa kuachia mpira.hili suala la Skelly kucheza kwenye ile position alocheza leo ilikuwa ni wimbo wa mashabiki wengi wa Arsenal tangu siku nyingi lakini Arteta kuliona hilo imemchukua miezi wakati ni suala ambalo lilikuwa linaonekana wazi.
apo unazungumzia man city dume ya kina kevin de bruyne, sio hii ya sasa winga semenyo 😆Jibu LA hii comment yako wanayo Liverpool, walikimbizwa na point moja zaidi ya game 10, hawakufua dafu
Chelkenge yupo na makombe mangapi anapambania?Arsenal n title contender epl Na ucl?
Kazi ipo 😂