Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,409
- 102,309
Pumbafu subiri game ianzeHaya maneno Huwa kabla ya game ila kikosi kikitoka na mpira tukianza utaanza kusikia mara huyu anakaa vipi bench, mara arteta anaruhusu vipi wasiojua mpira kujiona wanajua , mara wachezaji wa Chelsea.
Mwisho kabisa mnaanza kuwaita mods wasiwahusishe kwenye mpira😀