Hakuna timu iliwahi kuchukua ubingwa kwa kutegemea corners, game ya man city vs brighton unaona kabisa chances zilitokea kwa man city ila tu walishindwa kumalizia kitu kinachotokea kwa team yoyote ukiwa na siku mbaya.
Champions teams always au dalili zake huwa unapokutana na team kubwa ikiwa vibaya basi lazima unampa dozi ya maana, rejea Liverpool last season against man city mbovu halafu angalia arsenal akiwa home against Liverpool mbovu hapo ndio unaona why tunaita arsenal false hopers. Last season liver team ikitokea zimedraw basii yeye alikua ni kuongeza gap la points mpaka zikafika 10 .
All in all narudia kusema tena kwa uhakika zaidi THIS SEASON ARSENAL HABEBI KOMBE LOLOTE . Hatuyasemi haya kisa chuki bali tunausema uhalisia wenyewe.