Mapema yote hii ? Man city mliwapita points8 bado game 8 na still wakawa mabingwa , hizi 6 unaona nyingi eti?.Arsenal bingwa
Hii Acha nijisevia najua kuna siku nitaihitajiUjio wa AI za bure mtu akimix code kidogo kwenye kushangilia au akapigwa chenga kazi anayo.
View attachment 3541251
Naomba uongelee mechi ya Tottenham na City.Team zinazosaka ubingwa mnaziona lakini? Team dk 84 ipo nyuma inarudisha na kushinda palepale anfield , nyinyi mpo emirates hata chance za maana hamkutengeneza.
13 games to go ila wanangu false hopers mbona kama bahati hamna kabisa leo hata mimi nilikua naomba mshinde😆.
Kama ingetokea kwenu mngeweza kurudisha na kushinda kweli? anyway
Endelea kuwanga kbsa😅We will be there when quadruple itakapogeuka zerodruple mwezi wa sita
That was a different Manchester city and a different Arsenal and today we have a different Arsenal and different Manchester city.Mapema yote hii ? Man city mliwapita points8 bado game 8 na still wakawa mabingwa , hizi 6 unaona nyingi eti?.
Ilikua ni nature, arsenal bila false hopes hamuezi kuishi so lazima itokee.Naomba uongelee mechi ya Tottenham na City.
Ilikuwaje Tottenham pamoja na majeraha yote walionayo walifanikiwa kuchomoa goli za City na nusura waondoke na ushindi
December tulikuwa tumewaacha City na alama 2 pekee yake.Ilikua ni nature, arsenal bila false hopes hamuezi kuishi so lazima itokee.
Anyway tusubiri game yake na city tuone battle mtaliweza au mtalialia tena mara maturity au winning mentality.
Nakukumbusha tena 13 games to go mkiwa mnaongoza ligi kwa points 6.
Hakuna kitu hapo cha kututisha Sisi.🤣🤣🤣 Arsenyau hii hapa fixtures yenu, nawakumbusha tu kabla ya mechi yenu na City, Mancity atakua amewazidi ponts 4, hivyo akiwagonga atakua kawazidi points 7.