Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 50,981
- 122,920
Ladha itakuwa ya sumu ya panya 😂Hizo bia utazinywa kwa machungu bwashee
Ladha itakuwa ya sumu ya panya 😂Hizo bia utazinywa kwa machungu bwashee
Kama ni juzi tu hapo 2021 unaita uchizi, vipi kuhisi team ambayo haijabeba ubingwa toka 2004 utabeba Leo huo nao ni Nini?Chelsea haijawahi kua na uwezo wa kumfunga City tangu 2021.
Uchizi ni kuhisi angepata huo uwezo leo
Kawaida ukishabikia timu ndogo kama Nyukeso unakuwa na low expectationsKwahiyo unajifariji kwa matokeo ya Newcastle?? Sisi hata tungeshinda au kufungwa Haina msaada hatuna tunachogombania .
Kama kugombania msimu uliopita tuligombania kombe na tukashinda carabao cup! Tuligombania kitu tunagombania kweli .
Sio nyinyi takataka
Huwa unaangalia mpira kweli??Tukamzuie City tuu pale Etihad maana ndio mpira Arteta anaouweza yeye kujilinda tuu!
Nimeanza kushabikia Newcastle tayari Nina carabao cup .Kawaida ukishabikia timu ndogo kama Nyukeso unakuwa na low expectations
Watu kama nyie hata mpira Huwa hamuangaliii kabisa . Yaani mpaka saivi unawaza ubingwa😂Ubingwa tutakaochukua mwaka huu utakuwa mzuri sana kwetu...
Maana mpaka siku ya mwisho
Haters watakuwa wanajipa moyo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa kama mmeshindwa tu kumzuia Bournemouth nyumbani kwenu, kweli mtaweza kuwazuia kina O'Reilly nyumbani kwao?Tukamzuie City tuu pale Etihad maana ndio mpira Arteta anaouweza yeye kujilinda tuu!
Mchele ana bonge la taco 🤣Kama mnaangalia mechi ya man city kwa macho ya uchawi mkitegemea atapoteza mechi mnapoteza muda wenu bure mara mia muende kimboka
View attachment 3571562
Dah we fala kweli, arsenal bingwa wa eplMchele ana bonge la taco 🤣
Intelligent businessman umemuona kijana wako unayemtegemea akupe raha za dunia?
Labla bingwa wa ligi ya wanawakeDah we fala kweli, arsenal bingwa wa epl
Na uwezo mkubwa wa kuwin mipira ya juu.Kwa mujibu wa shabiki wao mmoja aliyepotea humu jukwaani, King Kai ni mtaalamu wa INVERTED PRESSING haijawahi kutokea duniani. Yaani anajiweka kwenye nafasi ambayo anazuia wachezaji zaidi ya wawili wa timu pinzani wasionekane na kupasiwa mipira kwa wakati mmoja
Nimeona niwakilishe hili ninalolijua ila mengine narudishe mic kwa wenye timu yao
Manena, sporting ya kimara labda, ana kufa kifo kikatili huyo sportingWatu wapo training ground wako busy kuangalia video za TikTok, halafu wanawaza ubingwa.
Hivi nyinyi kenge ubingwa mnauchukuliaje?
Sporting tupo nao jumatano walete raha kabisa makenge wachanganyikiwe .
Team kuanzia dakika ya kwanza inawaza kuzuia tu
Tutakuwepo j5 sio mbaliii, kuna jamaa arsenal tv alikua na Imani kama yako anaitwa Dan mpaka wengine wakampa jina la Dan positive ila jana kavua shati ***** anasema kachoka false hopes.Manena, sporting ya kimara labda, ana kufa kifo kikatili huyo sporting
J5 usi ulize we pigia mstari, arsenal ana shinda kwa 2+Tutakuwepo j5 sio mbaliii, kuna jamaa arsenal tv alikua na Imani kama yako anaitwa Dan mpaka wengine wakampa jina la Dan positive ila jana kavua shati ***** anasema kachoka false hopes.
Analalamika mpaka mtoto wake amemuona father muongo maana Kila mwaka anampa ahadi atampeleka Emirates kwenye parades la ubingwa lakini mpaka sasa mwaka wa 4 huu dogo hajaenda.
Nikakumbuka hamiss 77 alimuahidi mwaka juzi mtoto wake atamnunulia jezi ya arsenal endapo itachukua ubingwa mpaka Leo hollla😂
Ukubwa wa ArsenalNimeanza kushabikia Newcastle tayari Nina carabao cup .
Ukubwa wa arsenal ni upi?? Nembu kwa unyenyekevu nielezee hata kidogo tu ukubwa wa arsenal?
Kuna high expectations na false hopes nyinyi hamna expectations zozote mna false hopes.