Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tatizo Labyrinth unaishi kama Yahya.

Hakuna anayejua unapopatikana kwakua hata uzi wa Newcastle haupo na hutaki kuuanzisha.

Unasubiri Arsenal isuluhu au ifungwe ndiyo unacomment. La sivyo unaishi kama kinega. Mimi sina makosa kuandika nilichoandika kwa sababu ndicho unachopresent hapa online
Nyinyi ni ndugu zangu kwahiyo ni vibaya Mimi kuwa humu kwa ndugu zangu.
Halafu humu Nina mualiko wa pilau la ubingwa kwa ndugu yangu mkorea kama sio arsenal 2004. Nasubiri tu mbebe hio EPL
 
Pilau nilikuambia usilifuate. Ukijichanganya usitulaumu.

Juzi kaongeza na kukupa TV wewe au Flano
Hizi ahadi hazitekelezeki sio kwamba yeye hawezi kutekeleza ila Arsenal hawezi kubeba ubingwa.
Maana ili ziwe valid ni mpaka arsenal achukue ubingwa kitu ambacho hakiwezekani.
Hisense ina mfumo wa vidaa ni mmoja ya mifumo ya ovyoo abaki nalo tu Hilo li tv lake
 
Oya mkorea hadi Labyrinth 84 hataki tv yako.

At this point kila mmoja yupo sahihi anachoona.

Shabiki wa Arsenal naona nina chance ya ubingwa mpinzani unaona hakuna hiyo chance.

Tupo kwenye form mbaya na majeruhi kama ilivyokua msimu wa 22/23 na 23/24 kwahiyo confidence yenu ina back up.

Kama shabiki wa Arsenal confidence yangu ni kwa kocha na kikosi kuona wanachofanya uwanjani kinatakiwa kubadilika. Nje ya hapo sina back up nyingine.

Subiri ule ubwabwa
 
Angalia tone anayotumia jamaa kuongea, simple sana ila ingekuwa mashabiki wa simba na Yanga matusi, dharau na kejeli ndo yangejaa hapo

Kashindwa huyu eti madueke na Trossard ndio waweze😀😀
images.jpeg
 
Oya mkorea hadi Labyrinth 84 hataki tv yako.

At this point kila mmoja yupo sahihi anachoona.

Shabiki wa Arsenal naona nina chance ya ubingwa mpinzani unaona hakuna hiyo chance.

Tupo kwenye form mbaya na majeruhi kama ilivyokua msimu wa 22/23 na 23/24 kwahiyo confidence yenu ina back up.

Kama shabiki wa Arsenal confidence yangu ni kwa kocha na kikosi kuona wanachofanya uwanjani kinatakiwa kubadilika. Nje ya hapo sina back up nyingine.

Subiri ule ubwabwa
Toka Ile game ya forest mtoe draw mlikuja mkalalamika mpira mnaocheza , mpaka Leo sioni tofauti yoyote ya mpira mnaocheza kabisa style ni Ile Ile katika last 15 games zenu approach ni Ile Ile match pekee ambayo mlicheza mpira ni against spurs ambayo ni mbovu kupindukia .

Game nyingine mnashinda sio kwamba mmecheza vizuri Bali ni imetokea tu kama game na everton na nyingine nyingi tu midfielders wenu ni zero creative huyu zubimendi hamna kitu Kai ndio hama kitu kabisa.
100% nina uhakika hambebi kombe sababu hamtengenezi chances kabisa na hakuna kilichobadilika zaidi ya maneno ya arteta.
 
Umekifafanua nilichokisema. Yes, we are shitty.

But, watch this
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom