Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,242
- 76,780
Mpaka saa hii Arsenal, Aston villa na City zimejihakikishia kutoshuka daraja. Hakuna ambaye kajihakikikishia kuchukua kombe bado.
Game ya jana imetuonyesha kwanini Gyokeres ni muhimu kuwepo na kwanini tunatakiwa kufanya high pressing. Gyokeres anasababisha wachezaji wengine kua free kupokea mipira haswa wingers.
Jana alijitahidi kua involved. Lakini involvement yake haikumpa matunda ikawapa wengine. Martinelli offensively hakua sharp.
Odegaard katoa assist lakini sielewi kwanini first instinct kwake ni "play it safe" no risk in trying to tear apart defense kwa pasi na one two ila ni sideway passes na back passes ndiyo option namba moja.
Midfield ilikua haikabi. Ikambariki Bournemouth goli la pili..
Huu ushindi hauhalalishi hii performance. Bournemouth ni ya 15 kabla ya mechi ya jana walikua wamecheza mechi kumi mfululizo ambazo wamesuluhu tano na kufungwa tano. Kama unahisi matokeo ya msimu uliopita yanahalalisha hii performance notice kwamba kwenye game nao msimu uliopita we were better in everything, walitufunga kwao huku Saliba akila red, na kocha akamuanzisha Sterling na hatukua na option kwenye benchi.
Na bado tulikua tunacheza kwa nguvu zote. So hii performance ni ya hovyo.
Next game Liverpool anakuja Emirates Alhamis