Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,103
- 3,180
Tupe plan mapema kaka😂😂.Kwanza hili carabao cup halikua kwenye plan zetu.
Arteta akileta upuuzi wake, tunaweza toka mikono mitupuKule EPL bado una mechi na Kipara. Na nyingine moja ukifungwa na Nottingham Forest biashara imeisha.
Sijatizama game niko mbwinde huku, siwezi toa comment, kikosi naona hakikuwa na shida, haswa kwa kucheza na southmpton, sijui imekuwaje, tumechezea..Sema tena na leo wewe mzee makaveli10
Hata FA mlisema hvy hvy 😂Epl lazima tubebe
Watoto wa mama arsenal mambo yao ni ya hivyo hivyo miaka nenda rudiHata FA mlisema hvy hvy 😂
TutakuwepoooooooooARSEWOWOWO FOOTBALL CLUB
QUADRUPLE 🔞🔞🔞🔞🔞
ZERODRUPLE ✅✅✅✅✅
muda utaongeaPremier league - top of the table.
Uefa - top 1
aisee Kono la nyani lina kuja 🔥🔥
Hii kubwa sana mkuu 😂 waonee hurumaHakuna kitu Chelsea haijafanya ili Arsenal wapate makombe. Tumewalea mpaka tukachoka — lakini bado wanarudi nyumbani mikono mitupu kama watoto wa mtaani huku wakiturudishia matusi juu badala ya shukurani 📚
▪️ Chelsea ilishinda Champions League na Petr Čech… Arsenal wakamchukua wakidhani atawaletea UCL kama delivery ya Pizza 📦
▪️ Chelsea ilishinda Europa League na Willian… Arsenal wakamchukua, akawasha moto wa backpasses tu 🔥
▪️ Chelsea ilishinda Premier League na David Luiz… Arsenal wakamchukua, akawapa mabao ya kujifunga kama binti mkaidi anayezalishwa kila mwaka 🤣
▪️ Chelsea ilishinda Champions League na Jorginho… Arsenal wakamchukua, wakafikiri “mfumo umeiva” kumbe ni penalty hop tu 🦗
▪️ Chelsea ilishinda Super Cup na Kepa… Arsenal wakamchukua, sasa wanamuita “backup ya backup” mbona kacheza hadi robo fainal ya FA akaizamisha boti nzima?🧤
▪️ Chelsea ilishinda Club World Cup na Noni Madueke… Arsenal wakamchukua, lakini bado hawajui wamweke wapi 📍
▪️ Chelsea ilishinda Intercontinental Cup na Kai Havertz… Arsenal wakamchukua, wakamgeuza kuwa target man wa maombi 🙏
Kwa kweli tumefanya kila kitu kwa ajili ya jirani yetu, lakini Arsenal bado ni timu ya kuumiza kichwa — kama WiFi ya bure ya stendi ya mabasi 🤦♂️💀😂View attachment 3568103
Kama unakumbuka Liverpool msimu Jana walitolewa na timu gani kwenye FA?Paul Scoles, juzi kati alinukuliwa akisema kama Arsenal watatwaa ubingwa Epl this season itakuwa the worst team ever kufanya hivo
Hapa alikuwa na maana kwamba sio kwamba nyie ni wazuri sana (master class) ni vile tu wenzenu wamejichokea ... the likes of city, liver, Chelsea, utd , spurs , Newcastle n k......
Soton tu wako championship huko wamewalomba, wachezaji wenu muhimu walikuwepo/walicheza .... saliba, Gabriel M, Ode, Victor, kai kiazi, Jesus, calafior, skelly , Zubimendi n.k !
Quadruple? Mtaisikilizia kwenye bomba