Arsenal (The Gunners) | Special Thread

😂😂😂
 
Tusijifariji, tungejilegeza tukatolewa na chelsea nusu fainali.

Ni kweli kama tungewekewa hapa epl hapa carabao sote tungechagua epl, ila hakuna mwanadamu asietaka zaidi, epl tunaitaka lakini carabao pia tuliitaka ni vile arteta kaleta upimbi
Kule EPL bado una mechi na Kipara. Na nyingine moja ukifungwa na Nottingham Forest biashara imeisha.
 
Bahati mbaya, mie siwezi zungumzia mpira na wewe mzee,
Soma tena ulichoandika.. kabla ya game hii kuna game ngapi city hajapata ushindi kwa arsenal?

Mie nazungumzia kuwekwa benchi wachezaji wazuri na ww unazungumzia nini sasa 😂
Sema tena na leo wewe mzee makaveli10
 
Pole. Ujinga wote ni wa kocha wako. Hajawahi kushinda chochote cha maana toka alivyokuwa mchezaji. Tafuteni kocha anayejua kucheza mechi za fainali. Mechi ya fainali unaweka kikosi cha pili!
 
Mashabiki wa arsenal kwenye vichwa vyao wanaonaga kwamba makombe aliyochukua man city yameletwa na arteta then ndio akahamia kwao .

Wamesahau kuwa arteta alikua muokota Koni tu pale man cîty lakini wanavyomchukulia kama bonge moja la kocha hivi 😂😂.
Anyway tusubiri hio May.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…