Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Gunner to Gunner

Be hurt, Don't Be Stupid

Three titles to fight for!
 
Nyie mazwa zwa, lini tutaanza kumdiscus huyu jamaa yenu.
20260323_143202.jpg

Mbona niliona kama anarukaruka tu, huyu ndio mnaotuaminisha ni world class?!!!
 
😁😁😁 Wazee wa Haramu football, jana wamepigiwa Halal football wenyewe wakatanua mapaja.
 
🤣🤣🤣 Ninachompendea Tetea Kiwigi ni jasiri na hayumbishwi na kelele za misukule kwenye misimamo yake.
Mitano tena kwa Kiwigi kocha la makombe.
 
Attachments

  • 1774272446572.jpg
    1774272446572.jpg
    296.9 KB · Views: 10
🤣🤣🤣 Baada ya kukosa Epl naomba pia uje na kauli hizihizi za kujifariji.
Hapana sio kauli za kujifariji, City walituzidi mzee, sio kwamba Arsenal ni team mbovu hapana, Pep ni kocha bora kumzidi Arteta, kwani hilo lina ubishi?! Kukosa EPL ni uzrmbe wa team na sio kocha. Kwani wamefikaje hapo walipo. Sijifariji, ukweli lazima usemwe
 
🤣🤣🤣Bottlers fc AKA try again next season…..
 
Attachments

  • 1774271534404.jpg
    1774271534404.jpg
    231.2 KB · Views: 11
Msioipenda Arsenal shangilien vile mnavyojua lakini EPL tunabeba na city pale kwake hatufungi.

Tunzeni hii risiti.

City kwasasa hana uwezo wakutufunga mara 2 mfululizo.

Litakufa jitu pale Etihad.

Kaifunga timu isiyo na Eze + Raya tutafunga mdundo unaomfaa pale kwake.

Arteta aache tu ufala wake wakujaribu mambo kwenye mechi serious.

All in all jana tumekosa nafasi nyingi za wazi na Gyokeres alistahili kutoka abaki Kai pale mbele akae Tros aingie Martinel kushoto kule.Pangenoga.

Lakin kwa ujinga wake anampeleka Saka kati yaani mara 100 angemuingiza Dowman nikajua kaamua tu kujaribu mambo kwa ufasaha.
 
Aisee mwamsheni huyu jamaa anakaribia kulimwaga.
 
Fungu la kukosa nyie, wapuuz kabisa ! Mnamtegemea victor Goyc jitu hata akili halina ndio awape ubingwa ? Kule farmers league hata golf 100 per season atafunga ila sio eipielo......

Hivi saliba na Gabriel beki zenu wako fit,? hizi ndo habari napenda kusikia... ni mwendo wa kuwasagia kunguni tu na kuwamwagia upupu machoni
 
Msioipenda Arsenal shangilien vile mnavyojua lakini EPL tunabeba na city pale kwake hatufungi.

Tunzeni hii risiti.

City kwasasa hana uwezo wakutufunga mara 2 mfululizo.

Litakufa jitu pale Etihad.

Kaifunga timu isiyo na Eze + Raya tutafunga mdundo unaomfaa pale kwake.

Arteta aache tu ufala wake wakujaribu mambo kwenye mechi serious.

All in all jana tumekosa nafasi nyingi za wazi na Gyokeres alistahili kutoka abaki Kai pale mbele akae Tros aingie Martinel kushoto kule.Pangenoga.

Lakin kwa ujinga wake anampeleka Saka kati yaani mara 100 angemuingiza Dowman nikajua kaamua tu kujaribu mambo kwa ufasaha.
Eti tulikosa nafasi nyingi😀😀😀😀😀😀😀😀
Nafasi ipi??
Mpka kina Cherki wanapata nafasi ya kucheza show fotball uwanjani.
 
Labla EPL tuu Ndo mtaweza kuchomoka nalo mana wabovu wapo wengi EPL, ila huko pengine andikeni maumivu
 
Msioipenda Arsenal shangilien vile mnavyojua lakini EPL tunabeba na city pale kwake hatufungi.

Tunzeni hii risiti.

City kwasasa hana uwezo wakutufunga mara 2 mfululizo.

Litakufa jitu pale Etihad.

Kaifunga timu isiyo na Eze + Raya tutafunga mdundo unaomfaa pale kwake.

Arteta aache tu ufala wake wakujaribu mambo kwenye mechi serious.

All in all jana tumekosa nafasi nyingi za wazi na Gyokeres alistahili kutoka abaki Kai pale mbele akae Tros aingie Martinel kushoto kule.Pangenoga.

Lakin kwa ujinga wake anampeleka Saka kati yaani mara 100 angemuingiza Dowman nikajua kaamua tu kujaribu mambo kwa ufasaha.
Hizi kelele tushazizoea
 
Kwani kombe la carabao si mmekosa wenyewe sasa nani anawa chukia?😀😀😀
 
Back
Top Bottom