Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,147
- 18,813
FA na carabao sina hamu nayo kabisa.Walau makombe mawili kati ya manne, moja liwe EPL na lingine lolote tu!!
Vijana wapambane kwa machozi, jasho na damu watuletee EPL na UCL.
Hayo ndo mataji pekee ambayo yatamaliza kelele za mahaters