Mi ni arsenal, ila mwamba ali zidisha ushenz😁😂🤣🤣🤣 Ila li Masingeli lilikua linajua sana kuvuta masikio ya hizi kima, na ole wake atokee mtu wa kumkosoa atashambuliwa kila kona na kuonekana kwenye hili jukwaa la nyau yeye ni mamluki.
😂😂😂 Masingeli alikua konyo sana yule mtu, halafu mbaya zaidi akishawajaza humu ujinga anapitia majukwaa yote kuanzia Nyumbu, Chelkenge na Liverpunda kwenda kukinukisha, halafu Arsenyau ikianza kuzingua yeye anakimbia jukwaa anawaachia nyie msala😁😁😁😁Mi ni arsenal, ila mwamba ali zidisha ushenz😁😂
Huyu ndio ARV, yani akiona arsenal inafungwa lazima aje. Pole bwana ARV 🤣Huyu Gabriel kashapagawishwa na Kolo, dakika ya 70 tunamuwekea Richarlison ammalize kabisa.
Huwezi kuyaonaYale mapimbi yako wapi hapa?
wanaume waki fanya Yao, vilio vya kina mama lazima visikike.Bomu limepigwa mortuary
[emoji1]Hivi ndiyo vitu natakiwa kuangalia kwenye hii tv siyo vitu vya kimiyeyusho