Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,744
- 113,174
Tukubali tukatae ndugu zangu wa Arsenal timu yetu ina hali ngumu sana kwa sasa. Presha ni kubwa sana nje na ndani ya uwanja. Mpaka sasa timu yetu imetupa kila sababu ya kuikatia tamaa.
Game ya leo ni ngumu mno, kwanza ni Derby, pili mpinzani anapambana kubaki ligi kuu. Arteta asipotuliza kichwa yake kwenye kupanga kikosi ndio atazidisha ugumu zaidi.
Endapo tutapata point 3 basi game ya kuturudisha kwenye matumaini ni ya Man city.