Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
🤣🤣🤣 Masingeli nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Arsenyau.CF wa €90m unashangilia kabisa kufika goli 6?
Upo timamu?
Midhali Masingeli tayari umeshatia timu humu, basi uhakika Arsenyau habebi kitu msimu huu.
Broo tunaomba utuchambulie tena zile mambo za Overlapping, Inverted midfild na overloading.
Ngoja na mimi nianze kuachia risiti zako moja moja, maana maktaba yangu imejaa risiti zako za miaka 3 nyuma ulivyokua unaendeleza false hopes zako kwenye hili jukwaa.