IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,796
- 7,217
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Uchukue ubingwa forwad saka kiungo Odengada 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
🤣 🤣 🤣 🤣Tuliza wenge mechi ya kidume hiyo, huyo wolves anakula 3
Kwa huu uzembe unaofanywa mkuu, Man city sahizi gari imewaka. Gadiola anachukua hili kombe.Bado mnaongoza ligi, ubingwa wenu huu
Ni muujiza mtume!!Nini kimetokea???
Shikilieni bomba vizuriKwa huu uzembe unaofanywa mkuu, Man city sahizi gari imewaka. Gadiola anachukua hili kombe.
kuhusu kutembea na vibegi, baba ali nambia niwa achie wauza ukwaju.Tuliza wenge mechi ya kidume hiyo, huyo wolves anakula 3
Nime tukana bonge la tusi, hadi kuna wadada jirani wame uliza kwema intelli?Ukweli mchungu, hili chama sio la kuchukua kombe
Wakati timu inaongoza 2, na tunacheza boli halieleweki, nikamwambia mtu usishangae watoto wakachomoa zote.akabisha, nikamwambia punguza mapenzi, utakosa hata hamu ya kula daku..Nime tukana bonge la tusi, hadi kuna wadada jirani wame uliza kwema intelli?
Leo siku mbaya kwa wakubwa, inter kafa 3-1, atletico Madrid kasawazishiwa 2-2, arsenal ndio huyo.Wakati timu inaongoza 2, na tunacheza boli halieleweki, nikamwambia mtu usishangae watoto wakachomoa zote.akabisha, nikamwambia punguza mapenzi, utakosa hata hamu ya kula daku..
Watoto walivyochomoa kaachia mtusi, kasonya na kuondoka 😂🤣