tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,020
- 27,309
Ni baiskeli ya matope kwenye mvua ya masika. Hawa jamaa ni zaidi ya wanawake machangudoa wanaowakatia viuno waume za watu lakini wakirudi kwa waume zao halisi wanakuwa wamechoka vibaya sana na kushindwa kuperform🤣😂🤣Arsenyembo n baiskeli ya barafu jangwani