Aweee manjesta hata sisi tunautaka ubingwa😃Hadi mnakuja kukutana na City April, atakuwa ameshawaacha point 4 nyuma, Man Utd atakuwa anahitaji point 2 ili kuwa nafasi ya 2 ili ninyi mkagombee top 4 na Villa na Liverkuku
Hiyo ni pressure within the squad, yaani wanaitengeneza wenyewe. Na hiyo ndio itatumaliza, wala sio pressure ya nje.Fikiria unapata presha ya ubingwa zikiwa zimebaki mechi 12, unaongoza ligi kwa tofauti ya alama 4 halafu unacheza na timu ya mwisho isiyo na matumaini ya kuepuka relegation! Tuangalie na suala la laana kama Man UTD maana inafikirisha sana ujinga walioufanya RAYA na mpenda sifa Gabriel. Hakukuwa na presha ya kugombea mpira vile.
Hatimae akili zimekurudia, bado yule mwenzio mvuta shisha.Arsenal mwendo ndo tumeumaliza hivo yaani😔
Nyie Manure na Arsenyapu ni pipa na mfuniko..Hadi mnakuja kukutana na City April, atakuwa ameshawaacha point 4 nyuma, Man Utd atakuwa anahitaji point 2 ili kuwa nafasi ya 2 ili ninyi mkagombee top 4 na Villa na Liverkuku
Acha kumsumbua Sir God kwa mambo ya kipuuziEe Mungu Baba naiombea timu hii msimu huu isichukue kombe lolote timu ambayo haina malengo timu ambayo kila mwaka vilio, na ukiangalia utagundua Mwenyezi Mungu ameijalia hii timu inapata nafasi ya kuchukua kombe rakini nafasi inaichezea
Mungu baba hata mwaka jana nihawa hawa ambao uliwapa nafasi wakaichezea sasa inatosha
Hachukui kombe sio la ligi tu yaani lolote
AmnaInasemekana kuna kamgogoro ka ubaguz warangi so wachezaji wameamua kufanya yao kimtindo ila wameshazungumza next shuhudien kipigo kwa tottenham
Eh 😂Mistake tena! Si ulisema unapenda mkiwa mnampa mwizi energy drink ili muendelee kupiga?
Unasubiri season 5 ya Ateta😁😁Bado naamini arsenal ni title contender, subiri game ziishe.
Wabaki na nafasi yao ya runner up tu,Kuliko Arsenyembo achukue ubingwa, bora parapanda la kiama lipigwe tuu
Ya zamani sana hiyoHiv hii interview ni ya kweli ?Hazard , John Terry na Ivanovic wanaulizwa club gani kubwa duniani. Terry akajibu Barcelona or Real madrid.
Ivanovic akasema ARSENAL , Terry na Harzad wakaanguka kicheko kikali sanaa.