Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

20260219_005936.jpg
 
CALAFIORI aka SHOGA, bonge la straiker. Kaingia tu mpira wa kwanza kugusa goli
Ile jamaa asilaumiwe sabab alikuwa anajaribu kuokoa mpira ambao uko on target kabisa. Wakulaumiwa na Raya na Gabriel walishindwa kuwasiriana.
Arsenal hatuna chetu hapa.
 
Sio kwa ubaya tunawakumbusha tuu Netflix football club 😀😀😀 kama ilivyo kawaida yetu since 2022/23 mlipo dai ndo mmeanza rasmi kuwa serious na makombe

1. Carabao cup: FALSE HOPE🔞
2:EPL loading: FALSE HOPE🔞
3: UEFA loading: FALSE HOPE🔞
4: FA Cup : FALSE HOPE🔞
 
Back
Top Bottom